Mafanikio ni dhana pana sana, Motivational speakers eleweni kwamba, Kila mtu ana namna yake anavyo tafsiri mafanikio

PESA, recognition na madaraka ndio kipimo kikubwa zaidi cha mafanikio.
 
Mie nitakiwa nimefanikiwa nikiweza kucika miaka 80 na bado naweza piga 3some jamani.
Sitaki magari wala majumba mengi. Mie natala afya njema yakuweza kugegeda basi
 
Ndio hivyo mkuu ,kuna namna tumejifungia kwenye kakisiwa fulani tunalishana ujinga tu ,kiufupi hatuna exposure ya jinsi dunia ilivyo , magari nyumba ni mahitaji muhimu ya binadamu tu.

sema nini Africa wengi sisi ni homeless tu sema tuna mama ,mjomba ,shangazi na vijisehemu vya kujisitiri vya kulipia angalau dollar 30 kwa mwenzi , kwa hiyo mtu akimiliki ka gari na nyumba lazima avimbe .
 
Mimi nadhani mafanikio makubwa kabisa hapa duniani ni kuwa HAI na AFYA njema.

Kama umewahi kuugua sana ukalazwa hospitali ukiwa hujiwezi, halafu ukawa unaona watu wazima wanapita pita wakiendelea na maisha yao, utanielewa.
 
Mimi nadhani mafanikio makubwa kabisa hapa duniani ni kuwa HAI na AFYA njema.

Kama umewahi kuugua sana ukalazwa hospitali ukiwa hujiwezi, halafu ukawa unaona watu wazima wanapita pita wakiendelea na maisha yao, utanielewa.
Wafungwa nao wanaona mafanikio ni kuwa na uhuru tu.
 
Kwa upande wangu naamini motivational speakers wako sawa kwa sababu jukumu lao hasa huwa ni kuwa fanya watu wawe motivated kuthubutu, kufanya kazi kwa bidii, kutake risks, au kuyakimbilia mafanikio.
 
Msitazame matendo yao bali neno wanalowalisha hukumu watapewa na Mungu
The so-called Servants of God need to live by their words (to walk the talk) and not just paying a lip service to the Gospel they can't practice..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…