iamdastani
Member
- Dec 13, 2023
- 12
- 10
Unajishughulisha ns nn?View attachment 2843738
Hizi ni picha mbili zinazoonyesha mazingira yangu ya kufanyia kazi mwaka 2018 na mwaka 2022 , Posts zingine zaidi kuhusu setup yangu ziko kwenye Instagram yangu ambayo natumia username ya iamdastani ,
Login • Instagram
porodyuzaUnajishughulisha ns nn?
Bado hii ni skeleton ongeza nyama umeandika nini picha bila maelezo ya kutosha alafu heading inasemaje na wewe unasemaje? TOA maelezo ya kutosha andiko lako halijashiba bado lina njaa kaliView attachment 2843738
Hizi ni picha mbili zinazoonyesha mazingira yangu ya kufanyia kazi mwaka 2018 na mwaka 2022 , Posts zingine zaidi kuhusu setup yangu ziko kwenye Instagram yangu ambayo natumia username ya iamdastani ,
Login • Instagram
Nmependa kazi yako ya development ... Nami nakuja kuja naifanya najifunza kama hobbyView attachment 2843738
Hizi ni picha mbili zinazoonyesha mazingira yangu ya kufanyia kazi mwaka 2018 na mwaka 2022 , Posts zingine zaidi kuhusu setup yangu ziko kwenye Instagram yangu ambayo natumia username ya iamdastani ,
Login • Instagram
Development ya nini DS? Usidandie mtumbwi usioujua vizuri mwambie aongezee maelezo Uzi umepoa sana ndio maana watu wanaupita tuNmependa kazi yako ya development ... Nami nakuja kuja naifanya najifunza kama hobby
Mkuu usiwe unakurupuka. Mpaka nimecomment jua ninajua anachofanya. Kaweka insta account yake nimeenda nimeona ni developer wa apps. Kwanza hata kabla ya kwenda insta computer yake inaonyesha yuko kwenye development environment sijui ni android studio hiyo.Development ya nini DS? Usidandie mtumbwi usioujua vizuri mwambie aongezee maelezo Uzi umepoa sana ndio maana watu wanaupita tu
Sasa mtu anatafuta followers hautoi maelezo yaliyojitosheleza unategemea nini wewe? Au unafikiri hapa kijiwe chenu cha bodaboda unakuja na ID moja alafu unageukia ID nyingine kujipa promo?Mkuu usiwe unakurupuka. Mpaka nimecomment jua ninajua anachofanya. Kaweka insta account yake nimeenda nimeona ni developer wa apps. Kwanza hata kabla ya kwenda insta computer yake inaonyesha yuko kwenye development environment sijui ni android studio hiyo.
So usitoe maneno ya shombo sijui mtumbwi wakati wewe ndiye hujui.
Hayo ni mawazo yako wewe una haki ya kuwaza unalowaza.Sasa mtu anatafuta followers hautoi maelezo yaliyojitosheleza unategemea nini wewe? Au unafikiri hapa kijiwe chenu cha bodaboda unakuja na ID moja alafu unageukia ID nyingine kujipa promo?