Mafanikio ni Mchakato

Mafanikio ni Mchakato

iamdastani

Member
Joined
Dec 13, 2023
Posts
12
Reaction score
10
Screenshot 2023-12-16 at 06.57.04.png

Hizi ni picha mbili zinazoonyesha mazingira yangu ya kufanyia kazi mwaka 2018 na mwaka 2022 , Posts zingine zaidi kuhusu setup yangu ziko kwenye Instagram yangu ambayo natumia username ya iamdastani ,

Login • Instagram
 
View attachment 2843738

Hizi ni picha mbili zinazoonyesha mazingira yangu ya kufanyia kazi mwaka 2018 na mwaka 2022 , Posts zingine zaidi kuhusu setup yangu ziko kwenye Instagram yangu ambayo natumia username ya iamdastani ,

Login • Instagram
Bado hii ni skeleton ongeza nyama umeandika nini picha bila maelezo ya kutosha alafu heading inasemaje na wewe unasemaje? TOA maelezo ya kutosha andiko lako halijashiba bado lina njaa kali

Mchakato kivipi? 2018 kulikuaje na 2022 kulikuaje? Je! 2023 kumekuaje? Nini kinaendelea mbona hujaonyesha 2023? Kimekupata nini? Mchakato wako umeishia wapi? Bado kuna mapengo mapengo umeweka fumbo alafu umeliacha watu wafumbue wasichokijua kwa simulizi za kusadikika

Instagram sio JF shusha maelezo hapa hapa sio lazima tuje Instagram
 
Nmependa kazi yako ya development ... Nami nakuja kuja naifanya najifunza kama hobby
Development ya nini DS? Usidandie mtumbwi usioujua vizuri mwambie aongezee maelezo Uzi umepoa sana ndio maana watu wanaupita tu
 
Development ya nini DS? Usidandie mtumbwi usioujua vizuri mwambie aongezee maelezo Uzi umepoa sana ndio maana watu wanaupita tu
Mkuu usiwe unakurupuka. Mpaka nimecomment jua ninajua anachofanya. Kaweka insta account yake nimeenda nimeona ni developer wa apps. Kwanza hata kabla ya kwenda insta computer yake inaonyesha yuko kwenye development environment sijui ni android studio hiyo.
So usitoe maneno ya shombo sijui mtumbwi wakati wewe ndiye hujui.
 
Sasa mtu anatafuta followers hautoi maelezo yaliyojitosheleza unategemea nini wewe? Au unafikiri hapa kijiwe chenu cha bodaboda unakuja na ID moja alafu unageukia ID nyingine kujipa promo?
 
Sasa mtu anatafuta followers hautoi maelezo yaliyojitosheleza unategemea nini wewe? Au unafikiri hapa kijiwe chenu cha bodaboda unakuja na ID moja alafu unageukia ID nyingine kujipa promo?
Hayo ni mawazo yako wewe una haki ya kuwaza unalowaza.
Mimi nimevutiwa anachokifanya kwa sababu nafanya kitu hicho hicho kama hobby na ndio maana kwa kutazama tu screen ya picha ya computer nimejua anachofanya nikaamua kwenda kuangalia zaidi kwenye akaunti yako.
Hayo mengine unayowaza ni juu yako na ndio maana hata comment yangu ya kwanza nimemquote yeye si wewe.
 
Kama hii kazi yako ndio imekupa more than 50k followers basi upo vizuri keep it up bro.. Instagram account yenye followers kuanzia 10k ni mali tosha.
 
Back
Top Bottom