Mafanikio niliyoyapataa mtandaoni na kweye mitandao mbalimbali ya kijamii

Mafanikio niliyoyapataa mtandaoni na kweye mitandao mbalimbali ya kijamii

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums,

Nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema hodi, ali reply active kunipa ukaribisho, kwa namna rahisi tuseme active alihudhuria kwenye hafla ya ukaribisho wangu hapa Jamiiforums,

Lakini pia ndani ya kipindi cha siku chache za mwanzo zisizofika hata mwezi, maxence melo Mwenyewe kabisa ali reply kwenye moja ya thread nilizoandika humu.

Pia tukienda twiter au X, Kanye West alireply kwenye post yangu ( na pia si maramoja hufanya hivyo), wakati huohuo pia Elon Musk amewahi kinitag mara kadhaa... Kule X mimi hua napost kingereza tuu kiswahili sikumbuki mara ya mwisho nilipost lini ( hii ni njia bora ukitaka kupata marafiki na audience nje ya Tanzania )

Kule Instagram hua 69ine anareply mara kadha, na Mara Kadhaa Nicki Minaj na baadhi ya rappers wa Marekani nimewai kuchat nao DM na kwa mara nyingi NickiMinaj ndo hua anaanza kunitafuta ili tu chat na rapers wengi wenye level ya kusikilizwa duniani, pamoja na wachezaji kadhaa huko Instagram

Siku moja NickiMinaj alisema niwasalimie watanzania wote, na kwa mara ya kwanza salamu nazileta hapa Jamiiforums

na kwa wote matomaso na watakaosema chai nitawapa evidence zote za vitu nilivyosema hapa kama mkizitaka
 
20231105_225716.jpg
 
Kubadilishaje?
ukweli mitandao ukitumia vizuri unakua mnufaika,mfano nakumbuka wakati nafanya ujenzi nilipata ramani humu nzuri sana ramani ya vyumba vitatu ila sikumtumia yeye katika ujenzi ila ramani yakr ilikua nzuri sana ila siku hizi hayupo sana humu nawasilina nae kwa njia ya kawaida tunasaidiana kwa mengi,pia nilipata ushauri wa kubana matumizi wakati wa ujenzi kipindi nafanya finishing mawazo mazuri toka kwa RRONDO jamaa ni mzuri sana kwenye mambo ya ujenzi
 
Back
Top Bottom