Mafanikio niliyoyapataa mtandaoni na kweye mitandao mbalimbali ya kijamii

ukweli mitandao ukitumia vizuri unakua mnufaika,mfano nakumbuka wakati nafanya ujenzi nilipata ramani humu nzuri sana ramani ya vyumba vitatu ila sikumtumia yeye katika ujenzi ila ramani yakr ilikua nzuri sana ila siku hizi hayupo sana humu nawasilina nae kwa njia ya kawaida tunasaidiana kwa mengi,pia nilipata ushauri wa kubana matumizi wakati wa ujenzi kipindi nafanya finishing mawazo mazuri toka kwa prondo jamaa ni mzuri sana kwenye mambo ya ujenzi
Sawa hapo ni kwa upande wako! Vipi kuhusu yeye kapata faida gani hapo?
 
Kwahiyo sisi wengine tumetoka kwa shetani😏
naongelea chaguo langu limetoka kwa Bwana ,wewe nae mtafute anatoka kwa Bwana kanuni sio tu anaetoka kwa Bwana kanuni ni upate mnaendana ambae Mungu atamsogeza mtu mnaefanana kwa vitabia au mtakae vumiliana maana ipo saa mtajaribiwa unatakiwa uwe na mtu sahihi sio wakati wa majaribu anakuacha tunamuona Ayubu alikua na mke alietaka kumpoteza anamwambia mume wake mateso ni mengi mdhihaki Mungu ufe😔 Mungu akamuondoa yeye sasa baada hapo maandiko yanasema Ayubu alirudishiwa mara mbili ya alivyovipoteza
 
Amen 🙏🏽 amen.. umeeleweka pastor! Acha tuendele kuangalia!
 
Huu uzi unaendelea au ndio umesha maliza?

Hayo mafanikio uliyo yapata mitandaoni yako wapi sasa?
 
Back
Top Bottom