Mafanikio niliyoyapataa mtandaoni na kweye mitandao mbalimbali ya kijamii

Sawa hapo ni kwa upande wako! Vipi kuhusu yeye kapata faida gani hapo?
 
Kwahiyo sisi wengine tumetoka kwa shetani😏
naongelea chaguo langu limetoka kwa Bwana ,wewe nae mtafute anatoka kwa Bwana kanuni sio tu anaetoka kwa Bwana kanuni ni upate mnaendana ambae Mungu atamsogeza mtu mnaefanana kwa vitabia au mtakae vumiliana maana ipo saa mtajaribiwa unatakiwa uwe na mtu sahihi sio wakati wa majaribu anakuacha tunamuona Ayubu alikua na mke alietaka kumpoteza anamwambia mume wake mateso ni mengi mdhihaki Mungu ufeπŸ˜” Mungu akamuondoa yeye sasa baada hapo maandiko yanasema Ayubu alirudishiwa mara mbili ya alivyovipoteza
 
Amen πŸ™πŸ½ amen.. umeeleweka pastor! Acha tuendele kuangalia!
 
Huu uzi unaendelea au ndio umesha maliza?

Hayo mafanikio uliyo yapata mitandaoni yako wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…