Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Masikini na tajiri wote watakufa. Muda wake umetimia amekwendaMkuu mi si naelezea hali halisi, hata wewe hapo leo ghafla ukianza kuporomosha majumba, huwezi chukua miaka 7.
Mfano mzuri, yule marehemu Seki lusekelo,(mfanyabiashara wa madini-Tanzanite) mimi nimeishi nae, kwao walikua masikini, wakutupwa enzi hizo sekondari, alisoma kwa shida sana, akafaulu akaenda Chuo kikuu, alivyomaliza aliajiriwa mgodi wa Bulyanhulu, akafanya kazi miezi 6 tu, akaenda Mererani, akaanza kupata hela za ajabu, sasa ivi ni historia.
Mkuu imani huja kwa kusikia.