Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

Mkuu mi si naelezea hali halisi, hata wewe hapo leo ghafla ukianza kuporomosha majumba, huwezi chukua miaka 7.

Mfano mzuri, yule marehemu Seki lusekelo,(mfanyabiashara wa madini-Tanzanite) mimi nimeishi nae, kwao walikua masikini, wakutupwa enzi hizo sekondari, alisoma kwa shida sana, akafaulu akaenda Chuo kikuu, alivyomaliza aliajiriwa mgodi wa Bulyanhulu, akafanya kazi miezi 6 tu, akaenda Mererani, akaanza kupata hela za ajabu, sasa ivi ni historia.

Mkuu imani huja kwa kusikia.
Masikini na tajiri wote watakufa. Muda wake umetimia amekwenda
 
Nimesikitika kusoma huu uzi kwa kweli
Fikra zako na zisimfikie jamani
 
Watu mnaotakiwa kupimwa mkojo ni kama weweee ulieleta huu uzi hapa!!! Lkn cha ajabu wanawapima kina Wema Sepetu!!! Me huwa nashangaa sana aisee!!
 
Kina Michael Jackson wamejaza kumbi kubwa Duniani kwa miaka zaidi ya 30, wakafanya watu wazimie kwa furaha mpaka alipofariki akiwa na miaka 50.

Dimond wa watu ndio kwanza ana miaka 28, muacheni afanikiwe bwana, ingekuwa kweli wangeanza kupoteza maisha kina Chris Brown, Bieber na wengineo... acha kumchuria mwenzio.
 
Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).

Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.

Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.

mchawi wewe!! unaweza kuwa ni nyoka wewe

watu maarufu wote wamekufa lini??

ulisahau hilo
 
Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).

Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.

Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
Kwani kuna mtu atabaki milele ktk dunia hii?wewe mwenyewe jiandae vilevile sio kuwaangalia wenzako(jionee huruma mwenyewe mana hamtakuepo kaburi 1 na huyo baba T)
 
Ila ni maneno ya watu. Kunakipindi bana Chibu alipiga shoo moja hivi afu nyuma ya steji kulikuwa kuna jeneza flan hivi kwani alitaka apige shoo moja kama zile za akina Michael Jackson au kama wasanii wengine wanavyoigiza wakiingia kwenye majeneza n.k Watu wakasema wee kwamba jamaa sjui ni freemason hivyo anajitabiria kifo na haitachukua muda.... wakanifanya hata mimi nikanunua ubani maana Chibu nazipenda kazi zake. Subiri na kusubiria mpaka leo Chibu ndo kwanzaa anawapagawisha mashabiki zake. So hayo ni maneno tu yawakosaji.
 
Huo unabiii umefeli kwa sasa ndo umempa heri ya kuishi zaidi
 
We Ni Mungu pekee Unayeishi Duniani?
Mbn hampendi Kuona Transformations ?

Angekuwa Diamond anatamba Bila Hits ndo ungepata hata nafasi ya Kushuku ..

Lakini collaborations anazofanya na branding anayoifanya ya WCB sio ya kawaida..kawekeza Kila Kitu kuanzia Pesa ,uwezo ,muda na vitu Vingi..

Mbn Akija msanii mkubwa wa ulaya Watu wanajazana ..mbn Hawafii?

Unatakiwa upongeze Level ya BongoFleva Ilipofikia ...

Na Kama sio Baadhi ya Sections kwa Cyber Crime Act Of 2015 ..Basi Ningeendika Nachokifeel

Shame On you ...

Kila mwenye pesa Mnajua Freemason ...

Mkuu PAMBANA NA HALI YAKO
 
Kitendo cha diamond kila anapokwenda nchi husika husimama, anapokelewa kama mfalme, mambo makubwa nanayoyafanya kimziki, kiulimwengu wa roho, ni dalili ya kifo kinamnyemelea (Eeh Mungu muepushie na jinamizi hili).

Daimond anachafanya sasa ivi, kiulimwengu wa roho ni kupata mashabiki ambao siku sio nyingi watakuja kuhuzunika sana, kwani kifo chake kitakua cha ghafla tu.
Fuatilia hii duniani huko na hapa tz, kwa watu wote na hata kwa wanasiasa eg Deo Filikunjombe na wengine, vifo vyao vinatokana na Ibilisi kutaka kuwaumiza wanaobaki.

Diamond ni kama vile anawaaga mashabiki zake.
Namshauri Diamond asali sana, kwani ibilisi mtoa roho anamnyemelea.
Kila nafsi itaonja mauti. Unavyoongea ni kama wewe hutakufa..
 
Back
Top Bottom