Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

Katika mashabiki wa Simba nawakubali ni wewe mkuu Kalpana, unashabikia kistaarabu sana na unajua kuna ups and downs kwenye soka, sio kama huyu mtu mfupi mwenye kitambi.
Ni kweli hakuna timu isiyokua na ups and downs mkuu..ila mashabiki ni haki yao kukasirika..nakukubali pia 🙂🙂🙂
 
Ila kanjibai ni kanjibai tu
Yaani ngebe zote za mashabiki wa Simba ila anaweza kutengeneza la kimama Kisha akawabebesha wachezaji nao wametii bila kupinga
Kazi kweli
 
Wewe Genta

Haya mambo huwa yanaratibiwa yawe yalivyo !yaani kuna zama za yanga na zama za simba !hutegemea big boss anaeoperate state no shabiki wa tim gani kati ya hizo mbili!!

KWA SASA ni Mr smile na mpenzi wa hao jamaa lazima Mo ataambiwa atulie ILI kuipaisha yanga kama hivo!!

Unamkumbuka ismael adenrage aliwahi ambiwa na kiongozi mkubwa sana kua amuache mchezaji fulani aende yanga na kweli alienda hata kama simba alikua na pesa inayotosha kumsajili mchezaji huyo!!

Ni HIVYO tu!!

Fitina na uswahili wa simba kwasasa ni plan na inafanya kazi sawa SAWA!!!
 
Usikute Genta ni group la watu kadhaa wanapeana access ya hii account, Kuna muda anatema facts za kisayansi na anasepa na Kijiji Chake......

Kuna mda anaanza mambo ya uchawi, uganga na figisu, anasepa na Kijiji Chake,...

Kuna mda analeta mada za kudinyana na anasepa na kijiji chake..

Tutakupa maua yako Dr Genta
 
Ila Simba imetuletea sana unyonge mwaka huu.
Haya kuna watu waliyataka, Mo alimweka babra pale simba kusimamia matumizi ya upigaji wa pesa anazotoa kama alivyofanya GSM kumuweka Injinia, simba mkajiona wajanja mkamfanyia figisu babra mwisho akasepa, hivi unadhani nani atadhibiti matumizi ya pesa pale?
 
Ila Simba imetuletea sana unyonge mwaka huu.
Haya kuna watu waliyataka, Mo alimweka babra pale simba kusimamia matumizi ya upigaji wa pesa anazotoa kama alivyofanya GSM kumuweka Injinia, simba mkajiona wajanja mkamfanyia figisu babra mwisho akasepa, hivi unadhani nani atadhibiti matumizi ya pesa pale?
 
Ng'ombe jike akiwa kwenye hit period huweweseka Sana. Acha tutafute nngombe dume sasa!
 
Lakini kiukweli msimu ujao viongozi wawe serious sana kwenye swala la usajili aisee daah!!!
Kaka pale yanga injinia yupo kudhibiti fedha za GSM zisitumike hovyo sasa huku simba nani anadhibiti fedha za Mo?
 
Kwa Imani hizi Wanasimba nawapeni pole Sana, imebidi nione aibu mimi wakati wewe ndo ulipaswa uone aibu Kwa hilo shudu uliloandika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…