Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

HUNA AKILI



KAA CHINI.
 
Yaaaaaaaani!
 
Utakuwa mdanganyifu hadi zama hizi ambazo ukweli unaonwa na wengi hadi lini? Nambie kule mjini CAF pia nani aliyeratibu Simba iishie ilipoishia na kumwacha Yanga akipambania ustawi wa nchi yetu katika medani za soka la Afrika.
 


Pole sana, umetoa ya moyoni nadhani wamekusikia.
 
Wewe dada vipi? Bakia na Utopolo wako huko.

Nilshakuwepo hapa mapema sana 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tulia dawa ukiingie huko
Niko na wewe, ukikaa hivi nchale, ukibinuka vile niko na wewe
 
Mmiliki mmoja kwenye ligi moja inawezekana?
 
Braza ..nilikwambia utachagua timu mpaka fainali...
 
Ili uwe shabiki wa Simba ni lazima uwe mbumbumbu na akili za kimasikini.

Huwezi kuwa akili timamu ukashabikia Hilo litimu.

Angali tu huyo mwekazaji wao alivyo na akili zake.

Amesoma Chuo Bora , familia Bora, Hela ndefu ila ana ka uswahili na umbumbumbu Fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…