Mjomba umeadimika sana kundini. Sijui umepata uteuzi!!! Makolo wamekosa mtu wa kuwakera. Siku hizi wanajiachia tu kwa raha zao.Salaamu wakuu
Mafanikio ya Mpira wa Tanzania ya mekuwa yakushangaza ndani ya hii miaka 6 jambo ambalo limekuwa la kuigwa kwa nchi jirani
Mwaka huu Kwa bara zima la Africa ni nchi 2 pekee zilizoingiza timu 4 ambazo ni Morocco na Tanzania
Swali ni je nani anatakiwa kupongezwa kati ya TFF au serikali???
Serikali ipongezwe? Ipongezwe serikali gani ? Hii haramu? Acha kututia hasira ujue!Salaamu wakuu
Mafanikio ya Mpira wa Tanzania ya mekuwa yakushangaza ndani ya hii miaka 6 jambo ambalo limekuwa la kuigwa kwa nchi jirani
Mwaka huu Kwa bara zima la Africa ni nchi 2 pekee zilizoingiza timu 4 ambazo ni Morocco na Tanzania
Swali ni je nani anatakiwa kupongezwa kati ya TFF au serikali???
Mo, Mwigulu, Bakhresa na GSMSalaamu wakuu