Naona kaamua kuifunga mdomo JF
Safari hii Mwenyekiti anataka CCM ya watu wachache, sijui mtakimbilia wapiWana Jf.
Wakati Magufuli ameonesha umahiri mkubwa ndani ya Serikali kwa kurudisha nidhamu na kubana matumizi yasiyo na tija, CHADEMA wao wanaonekana kuchanganyikiwa kwa savant wengi wao kumbe ni wafanyabiashara wenye madeni yasiyolipika na hivyo uwezekano wa kifilisiwa ni mkubwa.
Sen go wao walikuwa vinara wa kukashfu chama tawala kumbe ndani kwa wao ndio washirika na sehemu tashwishwi ndani ya nchi.
Wakati wakihangaika kumuosha na kumpiga kiwi mtu wao hali ndani ya UKAWA ni ngumu sana maana CUF wanataka kama vipi wao ndio watoe mgombea was Jamhuri ya Muungano mwaka 2020 wakati mfadhili wa CHADEMA ashatangaza atawania 2020.
CCM kwa mwingine imeanza kupiga hatua za mabadiliko ya well kwa kubadili uongozi na kuweka vyuma halisi. CHADEMA wao wanaendelea.kutengeneza movies, sinema na mapambio CCM inaendelea kuzoa wanachama tena vichwa na tumaini la Tanzania ijayo.
Wakati rais Magufuli anayafanya yote CHADEMA inafikiria Kata Funua.
Naiona CCM ikipaa sambamba na Serikali kuimarika kiutendaji. CHADEMA inazorota na matokeo mtayaona.2020 itapambana kwa karibu na chama kidogo kinachokua taratibu.
Safari hii Mwenyekiti anataka CCM ya watu wachache, sijui mtakimbilia wapi
inasikitikisha kuona kuna watu wanaojitoa ufahamu kama huyu mtoa mada..
tamaa na unafiki utawatafuna sana watu wa aina hii
Mungu anakuona ujue!Mnaongea pumba ili.muende rumande, mtaenda tu eeeh maana hakuna namna mnataka wenyewe.
Tushaona dalili za kuandaa mazingira ili mhalalishe huo umbwiga, toeni mwali wenu mlikomficha
Mbona tupo hatujapotea
Mngejua maisha tunayoishi watanzania kwa sasa msingelopokwa kumsifia uyo mzee wenu, mtaani kugumu yeye ameng'ang'ana upigaji dili tu kama vile watanzania wote Mil. 50 tulikua tunashikiria vitengo nyeti vya fedha serikalini, fanyeni mfanyavyo ila mjue mnawaumiza wananchi na wapiga kura wenu
Aliyekwambia kila mtu anaishi mjini bila kazi kama wewe ni nani?Maisha kijijini yako vilevile, mjini unafanya nini huna kazi
Mnapenda kumsingizia mungu!Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji