Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wana Jf.

Wakati Magufuli ameonesha umahiri mkubwa ndani ya Serikali kwa kurudisha nidhamu na kubana matumizi yasiyo na tija, CHADEMA wao wanaonekana kuchanganyikiwa kwa savant wengi wao kumbe ni wafanyabiashara wenye madeni yasiyolipika na hivyo uwezekano wa kifilisiwa ni mkubwa.

Sen go wao walikuwa vinara wa kukashfu chama tawala kumbe ndani kwa wao ndio washirika na sehemu tashwishwi ndani ya nchi.

Wakati wakihangaika kumuosha na kumpiga kiwi mtu wao hali ndani ya UKAWA ni ngumu sana maana CUF wanataka kama vipi wao ndio watoe mgombea was Jamhuri ya Muungano mwaka 2020 wakati mfadhili wa CHADEMA ashatangaza atawania 2020.

CCM kwa mwingine imeanza kupiga hatua za mabadiliko ya well kwa kubadili uongozi na kuweka vyuma halisi. CHADEMA wao wanaendelea.kutengeneza movies, sinema na mapambio CCM inaendelea kuzoa wanachama tena vichwa na tumaini la Tanzania ijayo.

Wakati rais Magufuli anayafanya yote CHADEMA inafikiria Kata Funua.

Naiona CCM ikipaa sambamba na Serikali kuimarika kiutendaji. CHADEMA inazorota na matokeo mtayaona.2020 itapambana kwa karibu na chama kidogo kinachokua taratibu.
Safari hii Mwenyekiti anataka CCM ya watu wachache, sijui mtakimbilia wapi
 
inasikitikisha kuona kuna watu wanaojitoa ufahamu kama huyu mtoa mada..

tamaa na unafiki utawatafuna sana watu wa aina hii
 
Msijidangaje huku maisha magumu ht wale waliokua upande wenu wanawageuka,hv hua hamfanyi kautafiti japo kidogo tu kiukweli mtaani mmechokwa
 
inasikitikisha kuona kuna watu wanaojitoa ufahamu kama huyu mtoa mada..

tamaa na unafiki utawatafuna sana watu wa aina hii

Mimi si mnafiki bali ni mzalendo halisi, JPM sio wa kubeza ni wa kupongeza.

Siwezi kujitoa ufahamu nikasahau tulipokuwa.
Watu walikuwa mpaka hawataki kazi maana pesa zilikuwa kibao kwa mision town.
Wachache tu walikuwa walipa kodi wengine kumbe wanakwepa kodi
 
Mngejua maisha tunayoishi watanzania kwa sasa msingelopokwa kumsifia uyo mzee wenu, mtaani kugumu yeye ameng'ang'ana upigaji dili tu kama vile watanzania wote Mil. 50 tulikua tunashikiria vitengo nyeti vya fedha serikalini, fanyeni mfanyavyo ila mjue mnawaumiza wananchi na wapiga kura wenu
 
hapana bado siungi mkono hoja,so watu wanafanya kazi kwel tunaona...suala kuwa maendleo yapo ni huduma za kijamii na maisha bora ndivyo vitu vinasubiriwa pia bila kusahau haki na utawala bora.
 
Mngejua maisha tunayoishi watanzania kwa sasa msingelopokwa kumsifia uyo mzee wenu, mtaani kugumu yeye ameng'ang'ana upigaji dili tu kama vile watanzania wote Mil. 50 tulikua tunashikiria vitengo nyeti vya fedha serikalini, fanyeni mfanyavyo ila mjue mnawaumiza wananchi na wapiga kura wenu

Maisha kijijini yako vilevile, mjini unafanya nini huna kazi
 
Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji
Mnapenda kumsingizia mungu!
 
Yaani kasi hii kweli akiendelea nayo basi tunarudi nyuma miaka 50 ...W.Rodney aliyoita Development of Underdevelopment
 
Tangu aingie madarakani amekuwa na majina lukuki nahisi anaweza kuwa nick names nyingi kuzidi maraisi waliomtangulia..

Mtaaani kwetu wanamwita burudoza a.k.a tingatinga vipi kwenu.... munamwitaje?
 

Attachments

  • jpm.jpg
    jpm.jpg
    27.9 KB · Views: 28
  • pombe.jpg
    pombe.jpg
    23.2 KB · Views: 26
Back
Top Bottom