Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

JPM anafanya Vizuri
JPM anafanya kile kinachotakiwa kufanywa
JPM anafanya kwa ajili ya nchi.
JPM hapendi ufisadi..na yeye sio fisadi
JPM ndiye rais anaetafutwa na nchi nyingi masikini
JPM ataongoza nchi hii hadi 2025
 
Mungu kamleta Magufuli kwa wakati wake na kwa makusudi yake. Atukuzwe Mungu mwenye nguvu.
 
Kama kiongozi hana neno "Labda"
Kama kiongozi hana neno "Nafikiri
Kama kiongozi hana neno " Nitajirib
Bali ana Neno NITAFANYA bado Magufuli ni Man of the Match Tanzania..
Tukubali au tukatae....muda utasema
 
Akitoka 2025,tunampa kassim majaliwa
 
JPM anafanya Vizuri
JPM anafanya kile kinachotakiwa kufanywa
JPM anafanya kwa ajili ya nchi.
JPM hapendi ufisadi..na yeye sio fisadi
JPM ndiye rais anaetafutwa na nchi nyingi masikini
JPM ataongoza nchi hii hadi 2025
2025-2035 atakua kassim majaliwa inshaalah
 
RAIS WETU JPJM ABARIKIWE KWA BARAKA ZOTE. ..AMEN RA
 
Watanzania wenzangu nawaomba tusimame na Rais wetu maana tukiendelea kusikiliza wanasiasa na agenda zao za siri tutakuwa hatufiki.

Hii nchi inamambo mazito sana na mkuu wa nchi hawezi kujibizana na kila anacho andika mtu. Yatupasa kujuwa huyu rais amedhamiria kutufikisha kule tumedhamiria fika.

Hivi unawezakuamini kunamtu kaficha tans and tans ya chakula anasimama kutangaza njaa?

Hivi mnaweza kuamini wapo watu wanakazi moja kumkwamisha Rais?
Ndugu zanguni kama ni china tungetia wengi vitanzi tena hadharani.

Ila naimani wasaliti wote 2020 watakuwa hoi bin taaban hapa kazi tu tena

Kimya kimya.
 
Acha porojo wewe watanzania wanaangamia kwa njaa.Zile stori za sukari cjui watu wameficha hatuzitaki sahivi.Njaa iliyopo haijasababishwa na watu kuficha chakula bali ukame wa mda mrefu
 
sasa unahangaika na nini wkt uteuzi umekwisha au posho ya buku 7 unaihangaikia
 
Ndiyo, umesikia nilichoandika kwamba Ufisadi umeisha Tanzania na kama ulikuwa unatafuta sababu ni kwamba Upinzani umelikubali hilo!
Sasa hivi Upinzani wanatafuta cha kusema, chadema, Zito Kabwe wanatafuta jambo la kusema kwa Wananchi, hapo zamani Upinzani ulikuwa hauna shida ya kupata cha kusema, ilikuwa ni Ufisadi tu kwenda mbele ndo ajenda, leo hii wamegeukia Hotuba za Raisi, sasa sijawahi kuona maisha yangu yote na nchi yoyote ile Upinzani ukashinda uchaguzi kwa hoja ya ya kwamba Hotuba za Raisi ,,zinawakera," na kama hili likitokea basi Upinzani wa Tanzania utapewa Nobel prize ya ubunifu!

Angalia hoja zao zote Tundu Lisu anahojiwa na Radio za Wazungu anatumia muda wote wa thamani na fedha za Wazungu kulaumu maneno ya Raisi kwenye Hotuba zake, hiyo maana yake nini? Ni kwamba matatizo makubwa na ya Msingi yametatuliwa, kama ulikuwa unatafuta tafsiri yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…