Marlex Jr El
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 1,819
- 2,415
Hebu tukumbushie kidogo.Post zako za nyuma ndzo zinaprove unafiki wako. Kibaya hazifutiki
Unafanana mwandiko na Gentamycine au labda ni mapacha.Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Ukumbuke mpaka sasa hivi mwenye maono ya Tanzania ni rais, ningekuelewa ukisema kuwa unamuunga rais mkono kwa juhudi mbalimbali anzazozifanya, maana sina uhakika kuwa kile anachokitaka Rais wanzake wanakijua au wanafuata nyuma, rais amejipambanua wazi kabisa kuwa siasa hazina nafasi sasa kinachosisitizwa si aina ya chama kilichopo bali ni nini unafanya kwa ajili ya kuinasua Tanzania kutoka mkwamo wa kifikra na kubaini ukombozi uliopo ili Taifa lisonge mbele.Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Hahahahahahahaaaaa umeniwahiYaani uko ccm halafu uhamie ccm?!
Ni muhimu kuingia msalani na viatuBuku saba zimekuondolea aibu.
Kila siku unajulikana wewe ni mwanaCCM kindakindaki; halafu leo unajifanya unahamia tena CCM.
FROM DAR TO DARYaani uko ccm halafu uhamie ccm?!
name calling. ban huyu kiumbe.Unafanana mwandiko na Gentamycine au labda ni mapacha.
Kama umeshawishika kuhamia ccmKuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.