Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HEHE..... ANGEMUITA MBUZI MAWE NDO NAME CALLINGname calling. ban huyu kiumbe.
cc. mods wote
Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Mnafiki Tu weweKuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Unataka kujifanya umesahau kafulila alivyotangaza kuhamia Chadema Mara mbili?Buku saba zimekuondolea aibu.
Kila siku unajulikana wewe ni mwanaCCM kindakindaki; halafu leo unajifanya unahamia tena CCM.
Teh teh teh teh tehFROM DAR TO DAR
Ulichelewa kuhamia! Kilalaheri!Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Yaani wewe Lumumba mwenzio huwa hamuonani kwenye dirisha la mgao?Karibu sana mkuu,umeamua kuyakimbia matapeli
kikikiki mkuu ccm wana matatizo kweli sasa naona wanashabikia ushindi wa kiwiziwizi ushindi huo hauna tofauti na kujipiga punye......Teh teh teh teh teh
Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
kwani ulikuwa na kadi ya chama kingine?Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Karibu kwetu.Nyumbani ni nyumbani hata kama tunalalia mchunga.Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli