Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli

Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Karibu kwetu.Nyumbani ni nyumbani hata kama tunalalia mchunga.
 
Unamaje wakati ulikuwa huko?
Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli

Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
 
Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli

Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Wewe ni mbovu sana na atakae kufuata wewe hana akili kabisa
 
Kwa sasa nchi inapitia wakati wa mpito watu lazima wajue hilo.

Ni kweli hakuna njaa nasema tena hakuna njaa. watu mjifunze kuweka akiba.

Mwaka huu lazima tujifunze kitu. Cha moto lazima tuone ila kufa hatufi.

Magu amekaza na amesema hatoi chakula mambo mbele kwa mbele tuliipenda wenyewe.

Hapa kazi tu
 
Unataka kujifanya umesahau kafulila alivyotangaza kuhamia Chadema Mara mbili?
Kafulila alikuwa mwanaCHADEMA, kisha akahamia NCCR, baada ya hapo akaamua kurudi CHADEMA.

Sasa huyu muhuni mwenzio siku zote amekuwa mwanaCCM, hajawahi kuhama, leo hii anautangazia UMMA wa JF kuwa anahamia CCM, huoni ni uchizi huo?
 
FB_IMG_1485278005880.jpg
 
Rais wetu ni rais pekee aliyeweza kupambana na ufisadi na kutetea maslai ya wanyonge kwa kuboresha huduma za Afya,barabara,ukusanyaji kodi,elimu bure , na kuboresha mfumo wa ajira.
 
JF kuna wakenya, waganda, wanyarwanda na nchi nyingine. Sasa huyo ni Rais wa nchi gani?
 
Rais wetu ni rais pekee aliyeweza kupambana na ufisadi na kutetea maslai ya wanyonge kwa kuboresha huduma za Afya,barabara,ukusanyaji kodi,elimu bure , na kuboresha mfumo wa ajira.
Kwa kweli tena kwa muda mfupi!
 
Rais wetu ni rais pekee aliyeweza kupambana na ufisadi na kutetea maslai ya wanyonge kwa kuboresha huduma za Afya,barabara,ukusanyaji kodi,elimu bure , na kuboresha mfumo wa ajira.
Ni raisi wa wapi etiii. Mleta Mada. Ulikuwa na haraka ya wapi .kajipange
 
Mh rais kiukweli heshima Mjini imeanza kurudi, wale waliokuwa wanatupita bila hata kutusalimia sasa hivi wanatusalimia, wale dada zetu waliokuwa wakikuona tu mbele yao wanajifanya wanaongea na simu, siku hizi wanatusalimia.

Amani mtaani imerudi waliokuwa wanatusumbua na sauti za Subaru zao kwa sasa wanaziendesha kwa heshima tena kwa wiki mara moja.

Kwa heshima Mkuu naomba ukaze tena kidogooooo ili wale ambao bado wanatusumbua mtaani na chenji zao ziishe ili tuwe sawa.

Naomba uwai kurudi kutoka ethiopia maana naona watu wameanza maneno maneno na vurugu, wengine wameshaanza kuangusha mpaka train yetu. Ukichelewa wanaweza ata angusha ndege yetu.

Mkuu bado kidogoooo.

Haya mabadiliko tuliyalilia muda mrefu ndani ya chama chetu.

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom