Karibu kwetu.Nyumbani ni nyumbani hata kama tunalalia mchunga.Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Wewe ni mbovu sana na atakae kufuata wewe hana akili kabisaKuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Ufipa huwa mnatumiwa kwa tgo pesa???Yaani wewe Lumumba mwenzio huwa hamuonani kwenye dirisha la mgao?
Kafulila alikuwa mwanaCHADEMA, kisha akahamia NCCR, baada ya hapo akaamua kurudi CHADEMA.Unataka kujifanya umesahau kafulila alivyotangaza kuhamia Chadema Mara mbili?
JF kuna wakenya, waganda, wanyarwanda na nchi nyingine. Sasa huyo ni Rais wa nchi gani?Rais wetu ni rais pekee aliyeweza kupambana na ufisadi na kutetea maslai ya wanyonge kwa kuboresha huduma za Afya,barabara,ukusanyaji kodi,elimu bure , na kuboresha mfumo wa ajira.
Kwa kweli tena kwa muda mfupi!Rais wetu ni rais pekee aliyeweza kupambana na ufisadi na kutetea maslai ya wanyonge kwa kuboresha huduma za Afya,barabara,ukusanyaji kodi,elimu bure , na kuboresha mfumo wa ajira.
Ni raisi wa wapi etiii. Mleta Mada. Ulikuwa na haraka ya wapi .kajipangeRais wetu ni rais pekee aliyeweza kupambana na ufisadi na kutetea maslai ya wanyonge kwa kuboresha huduma za Afya,barabara,ukusanyaji kodi,elimu bure , na kuboresha mfumo wa ajira.