Hivi mhe.siku hizi hafanyagi mabadiliko hata ya ma dc?
Ahsante kwa taarifa, sasa wajulishe Lumumba usisahaulike kwenye bk 2 na T shirtMimi mwenyewe nitamchagua Magufuli kwa mara ya pili tena 2020
Uamuzi mzuri na wakizalendoMimi nitamchagua kwa Mara ya kwanza maana sikumchagua awamu hiii.....
Humkuchagua na hutamchagua ila wengi tulimchagua na tutamchagua wengi zaidi 2020dah kwangu haitakuja kutokea kamwe bora nichague Hashimu Lungwe
Basi kwa mtoa mada imekula kwake.Povu limekata.
Swiss me
Hoja yako ya msingi ila naomba nitoe maoni yangu kwa mazingira niliyojifunza kwa nchi zilizoendelea nikitolea mfano USA....kama huna insurance utapata huduma ya afya sawa na TZ, foleni ndefu nk na utaona tofauti ya bure vs mwenye insurance... Yet wanaheshimu maisha watu wasife hivyo ICU itakupokea na bili zako zitafuata...leo hii TZ tunaamini kuwa ni jukumu la serikali kutoa vifaa na dawa na watu wapate huduma bora...HAITAWEZEKANA., Wenzetu wamesahau kuwa ukisoma serikali itakupa ajira, Ajira za serikali ya USA-Federal ni 5% ya ajira zote... meaning taasisi nyingine na makampuni binafsi ndio zinatoa ajira Tz tunaiangalia serikali, sina uhakika wa system ya elimu ya sekondari ila colleges kuna taasisi nyingi binafsi zinazotoa scholarships kuisaidia serikali, umeme wa uhakika ikiwamo barabara wenzetu wanaangalia uzalishaji na sio sheria tu ya kujenga mabarabara, uchumi wa mtu mmoja mmoja hapo kwani hata USA ni akili mkichwa na ukicheza utalala barabarani....Sipingani na yeyote ama kujifanya najua ila approach yetu ya kuiangalia serikali kwa kila kitu inatufanya tushindwe kuendelea kama nchi, hakuna creativity, hakuna kujituma na the good is tuna excuse ya serikali.. maoni yangu its ok nikikosolewa..i might be wrong somewhere.... but not kutukanwa if possible.. Asante mkuututampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini
Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli
Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
Unadhani huku ndani kumejaa watoto wa darasa la pili ehh?Umeandika simple ila imejaa weledi wa kutosha..ukiingia deeply unaona Yale matatizo sugu ambayo upinzani wamelia nayo kwa miaka kumi yameisha,.na sasa inabidi wavizie hotuba ambazo nazo baada ya muda mfupi zinaisha..