Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sasa tumuache Magufuli twende kwa nani sisi??

Sio yale makapi mengine ya ccm.
2025 tutabadili katiba jamaa hadi magufuli Mungu amuchukue ndo tutabadili raisi mwingineee
Maaaana hawa wengine wakobize kuwa mawakili wa wawauza SEMBEE


HAPA KAZI TU
 
tutampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini
Hoja yako ya msingi ila naomba nitoe maoni yangu kwa mazingira niliyojifunza kwa nchi zilizoendelea nikitolea mfano USA....kama huna insurance utapata huduma ya afya sawa na TZ, foleni ndefu nk na utaona tofauti ya bure vs mwenye insurance... Yet wanaheshimu maisha watu wasife hivyo ICU itakupokea na bili zako zitafuata...leo hii TZ tunaamini kuwa ni jukumu la serikali kutoa vifaa na dawa na watu wapate huduma bora...HAITAWEZEKANA., Wenzetu wamesahau kuwa ukisoma serikali itakupa ajira, Ajira za serikali ya USA-Federal ni 5% ya ajira zote... meaning taasisi nyingine na makampuni binafsi ndio zinatoa ajira Tz tunaiangalia serikali, sina uhakika wa system ya elimu ya sekondari ila colleges kuna taasisi nyingi binafsi zinazotoa scholarships kuisaidia serikali, umeme wa uhakika ikiwamo barabara wenzetu wanaangalia uzalishaji na sio sheria tu ya kujenga mabarabara, uchumi wa mtu mmoja mmoja hapo kwani hata USA ni akili mkichwa na ukicheza utalala barabarani....Sipingani na yeyote ama kujifanya najua ila approach yetu ya kuiangalia serikali kwa kila kitu inatufanya tushindwe kuendelea kama nchi, hakuna creativity, hakuna kujituma na the good is tuna excuse ya serikali.. maoni yangu its ok nikikosolewa..i might be wrong somewhere.... but not kutukanwa if possible.. Asante mkuu
 
Utendaji upi unaozungumzia hapa? Wa u dikteta uchwara na kuangusha uchumi wa nchi!?

Kuanzia Leo kwaheri UKAWA nimehamia Rasmi CCM kutokana Utendaji wa Rais Magufuli

Nawashauri Vijana wenzangu pia mnifuate huku tuepuke siasa za Kilaghai kwa kweli nilihadaika sana sasa nimeamua kujiunga CCM Rasmi.
 
Umeandika simple ila imejaa weledi wa kutosha..ukiingia deeply unaona Yale matatizo sugu ambayo upinzani wamelia nayo kwa miaka kumi yameisha,.na sasa inabidi wavizie hotuba ambazo nazo baada ya muda mfupi zinaisha..
Unadhani huku ndani kumejaa watoto wa darasa la pili ehh?
 
wakuu leo nimepitia katika website za kampuni mbalimbali zinazo tengeneza ndege. nkapitia kwenye website ya BOEING, nkakuta wameweka oders mbalimbali za airline zilizo oders ndege kwenye kampuni hiyo, nkaamua kuangalia oders za boeing787(dreamliner) nkakuta wameinclude na airtanzania, nkapitia kwenye website ya BOMBARDIER nkaangalia oders mbalimbali hasa za ndege mpya walizozindua mwaka jana za bombardiercs300, nkakuta airtanzania wana oders za ndege hizo mbili pamoja na q400, kwakweli JPM, kuna vitu amefeli sana na kuna vitu atafanya vizuri sana kama kufufua atcl, kwakweli kwa hilo tutamkumbuka, kwani maraisi wengi walishindwa kuifufua. mpaka Kikwete akatembelea boeing lakini aliiacha ATCL ikiwa hoi na ka ndege kamoja(q3000) kwa hili la kufufua atcl jpm nampongeza sana japo watu wanaponda ila one day watakumbuka kwa hilo, ilikuwa aibu nchi kubwa kutokua na airline.
 
Back
Top Bottom