Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Weak point Madam/Sir
 
Kwenye jumuia huwezi kukomesha wizi bali unaweza kuweka jicho la karibu (where there many people you can not stop stealing instead control)
 
magufuli alianza vizuri sana, sijui alipotezwa na nini akaanza kupambana na wapinzani badala ya kuleta viwanda, kwa uelekeo aliochukua hafiki popote. Imagine sasa hiivi anavyo mtafuta Lisu.
 
MAGUFULI KARUDISHA TRAIN KWENYE MATARUMA! MAANA HII NCHI ILIKUWA IMEACHA RELI!!

Miaka ya nyuma kidogo, ninadhani kama 1995, wakati mmoja Wachaga wawili na Mhaya mmoja walikwenda kuiba pale Morogoro. Kufika pale wakavunja mlango wa godawuni wakaingia ndani, kumbe mle ndani kuna jamaa ana upanga. Basi wa kwanza kuingia ndani alikuwa ni Mchaga, yule jamaa akanyanyua panga kimyakimya na kumfyeka Mchaga kwenye mkono, nyama baadhi ya nyama za mkono zikamwagika chini, waaa!! Yule Mchaga akakohoa, khakakhaka!!! Kisha akatoka nje. Wenzie wakamuuliza, vipi? Akajibu nimeshaandaa mazingira, sasa hivi ni kwenda kusogeza karibu na mlango.

Kusikia hivyo akaingia na mchanga wa pili, jamaa akanyanyua panga na kufyeka tena, waaa!! Huyu Mchaga wa pili naye kimyakimya akarudi nyuma na kutoka nje. Yule Mhaya akauliza, vipi tena?? Jamaa akajibu sasa hivi ni kwenda kutoa mzigo nje.

Basi akaingia Mhaya, wala yule Mhaya hakukatwa, isipokuwa alilicheki panga likiwa hewani, yohoooo mawe ninakufaaaa!!!!!!! Ahahaha!! kwa ufupi ktk maisha huyu Mhaya hata siku moja hawezi akafanikiwa.

Maana zipo tabia! zipo roho zinazotembea na watu wanaotaka kutoboa ktk maisha, hawapigi kelele haraka, wala hawakati tamaa mapema! Ni watu gumegume! Wanasema kama mipango imeharibika basi tulia MUNGU yupo! Wanasema adui yangu niangukapo usifurahi maana ninainuka tena!!

Magufuli ametawala mwaka mmoja, bado miaka mingine tisa 9, wale wote wanaosema Magufuli amebana pesa kamwe hata akiondoka hawawezi kufanikiwa. Kama baba yako ni miongoni mwa wanaosema Magufuli kabana pesa, basi inabidi nikupe pole! Pole, Mwenyezi MUNGU kakujalieni mzazi mwenye kilema cha akili .

Lakini tuamini kwamba tuliumbwa ili tuwe matajiri, na ndiyo maana ukazaliwa nchi ya ki tajiri kama Tanzania, siamini kwamba utajiri utakuja ghafla, lakini ninaamini chini ya Magufuli mchakato umeanza, kimenuka!! Maana maisha ni mchakato.

Na masikini yeyote ana alama, na moja ya alama za ki masikini ni kukata tamaa mapema. Ninaomba usiwe miongoni mwa watu wanaokata tamaa mapema.

Kutajirika kuna kanuni zake, na mojawapo utajiri huwa mtu anaanza kuupata akifikisha miaka 45, na kuendelea. Unaweza ukapata pesa ukiwa na miaka 22 tuu! Lakini huo sio mfumo rasimi uliowekwa na Mwenyezi MUNGU. Mfumo rasimi ni miaka 45.
 
Kwa hiyo akili yako imekutuma wachaga na wahaya ndio wezi nchi hii? na eti wahaya hawawzi kufanikiwa ni kweli hiyo?
 
Naomba niimbe kawimbo kenye pambio kasemao,wewe ni Ni Mungu,ehehe weewe Ni Mungu,hata wachawi wanajua wewe ni Mungu'' kawimbo ako n katamu,ila kwako rais mimi naimba HIV wewe ni Magu,tena rais Hama hakika tumepata wewe rais,wewe ni mwambaaaa ww n mwambaa HAMA HAKIKA tumepata wewe ni rais,ww ni bosiiiiii ww n bosi Hama akika tumepata ww n rais,
 
Mi nataka akae madarakan zaidi ya Mugabe.....
 
Sina shaka hata kidogo kwamba Dr Magufuli, pamoja na utashi wake wa kisiasa, anaelekea kuwa kiongozi bora Afrika ambaye ataleta mabadiliko makubwa ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia nchini Tanzania.

Mabadiliko hayo yatapatikana kwa mikakati yake ya kubadilisha tabia za watu (nguzo kuu ya madadiliko yoyote katika jamii). Na hayao mabadiliko yanaanza kuzaa matunda kutokana na ujasiri wake Rais kukemea, kwa vitendo, aina zote za uovu katika jamii, kwa mfano:
1) Uchafuzi holela wa mazingira
2) Uzembe mahala pa kazi
3) Matumizi mabaya ya mali ya umma
4) Uporaji wa rasimali za taifa
5) Biashara ya madawa ya kulevya
6) Matumizi mabaya ya pombe, hasa viroba.

Mikakati hiyo, bila shaka itahenga Taifa la watu wenye maadili na wachapakazi kuelekea kwenye maisha ya kistaarabu, siyo ambayo tulianza kuzoea ya kutukukanana kwenye mitandao, majukwaa ya siasa, bungeni, nk bila aibu.
 
Mabadiliko my foot!

Ova
Siyo kosa lako kuandika hivyo. Wewe hasa ndiye mlengwa kwenye hii vita ya kujenga Taifa la wastaarabu. Baada ya kukosa unga na viroba, akili itakurudia
 
Aah wapi kiongozi bora kabisa wa karne hii ni wema sepetu,tusubiri atakapokuwa raisi 2050 nchi yote muvi tu macho ya kizungu,nywele za kihindi,everything artificial !! Tutapendeza saaaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…