Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Huo uandishi wako sidhani kama ni mtanzania, labda msukule wa kitz
 
waambie huko rwanda huku tanzania kuna team wema .. hawataki hata kumsikia rais wetu kipenzi wanadai eti anapenda sifa
 
Nipo Kigali, Rwanda. Hakika haja na upendo wa wanya Rwanda kwako ni wakistaajabisha na kuufurahia sana!Nathubutu kutamka kwamba inawezekana upendo wao kwako ni zaidi hata ya wetu RAIA wa Tz ambao kila siku tunakusema kwa ubaya tu!

Hapa Kigali, eneo ambalo mkutano wa wabunge wa Afrika mashariki unafanyika hakika kila mtu anataka kufahamishwa kuhusu ww.Wengine wana thubutu hata kutamani uwe RAIS wao!

Wengi wanataka kufahamu pia km utahudhulia mkutano huu.Hakika ww ni mfano wa kuigwa.

Nimejisikia fahali sana kuwa mta Tz.Lkn napata fahali zaidi niulizwapo kuhusu ww kwa mema!Natembea kifua mbele huku nikidunda kwa maringo kabisa.Yote haya nayafanya kwa sababu ya heshima ya Tz uliyoirejesha kwetu sisi RAIA wa Tz.

HAKIKA natamba kwa sababu ya heshima yako.
Usiombe kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.Wanajua wanachofaidi
 
Awamu ya nne na awamu ya tano ni awamu za ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji(barabara na reli). Mzee wetu J Kikwete ni raisi pekee aliyejenga kilometa nyingi zaidi za barabara ndani ya miaka 10.Alifanikiwa kuunganisha karibu mikoa yote na barabara za rami. Hongera sana mzee wetu JK, baba wa BARABARA. Kazi nzuri hiyo ilifanyika chini ya usimamizi mahiri wa JPM. Pamoja na kumalizia vipande vilivyobaki vya barabara, JPM naye amekuja na falsafa yake ya kujenga Reli Dar hadi Mwanza. Treni za umeme ni rasilimali muhimu sana ktk ulimwengu wa leo. Mtu atalala Morogogoro na kufanya kazi Dodoma au Dar. Mtu atalala Dar na kufanya kazi Dodoma. Safari za Dar Dodoma zitakuwa rahisi sana. Hakika JPM ni baba wa RELI. Watanzania tuna wajibu wa kumshukuru Mungu kwa kutupatia hawa mababa hawa ambao wemeacha na wataacha historia iliyoandikwa juu ya ardhi.God bless them all the time.
 
Ya awamu ya nne tumeyashuhudia, awamu hii ni maneno na nia, tunasubiri yatokee.
 
Ni habari njema sana, tusubiri kwani achekaye acheka mwishoni...!!
Nakumbuka fly-overs zilianza kuhubiriwa miaka ya 2010, mpaka leo sijaziona...!!









Tafakari...!!
 
Hivi uturuki nchi masikini ulaya ndio inadhamini ujenzi wa reli yetu?

Ni ndoto,hawana hiyo hela,maisha yao tu yanawashinda

Tutarudi kwa mchina soon!!
 
habari wadau..

katika zawadi kubwa sana kikwete aliyowai kutupatia watanzania... ni kucheza makarateka hadi magufuli akapata nafasi...

huyu baba wa chato ni jembe kweli kweli..

anamaliza upigaji pole pole wale wezi wote wanaisoma namba...

na uzuri wa ccm mwenyekiti ana nguvu kupitisha jina la rais anaefata... nina imani Mungu akimuweka hai 2025 magufuli lazima atuletee jembe lingine tena zaidi yake kuashiria wapigaji hawapati nafasi tena....

ccm mpya ni ya majembe tu hadi 2050 tanzania itakuwa kama china full maendeleo..
 
habari wadau..

katika zawadi kubwa sana kikwete aliyowai kutupatia watanzania... ni kucheza makarateka hadi magufuli akapata nafasi...

huyu baba wa chato ni jembe kweli kweli..

anamaliza upigaji pole pole wale wezi wote wanaisoma namba...

na uzuri wa ccm mwenyekiti ana nguvu kupitisha jina la rais anaefata... nina imani Mungu akimuweka hai 2025 magufuli lazima atuletee jembe lingine tena zaidi yake kuashiria wapigaji hawapati nafasi tena....

ccm mpya ni ya majembe tu hadi 2050 tanzania itakuwa kama china full maendeleo..
Bashiterapa
 
Ungejua katuletea furushi wala usingekuja na huu uzi.
"HUYO MNAYEMSIFIA KAFANYA NN KUMKOMBOA MTANZANIA WA HALI YA CHINI KIUCHUMI?''
JK inabid atuombe radhi kbsa. Tulipiga hatua 10 kiuchumi na sasa hiv tumeeudi nyuma hatua 30 nyuma.
Ajira za watoto masikini ndizo wanapewa makada
 
Ha ha ha haaaaaa

JPM oyeeeeeeeeeeeeeee

Na bado
-Oyeee endelea kukaza tu.
Usitoe ajira kbsa kwasbb hao ni wapiga dili
- Endelea kuwanyima watoto wengi wa masikini mikopo
-Hiyo increment wala usitoe sbb wana mshahara na pia usiwapandishe watu madaraj
-Weka HELSB 20% watu wanapesa tu wala usijali.
Ccm oyeeeee
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Mimi naungana na wewe kwa 100%
 
Back
Top Bottom