Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Bila shaka unaujutia uzi huu wa 2015....bila shaka huamin kinachoendelea kutokea katika budjet zako kwa sasa...tupo tayari kukusamehe kwa yaliyotangulizwa na videle vyako kwa uhariri wa ubongo wako.
 
baada ya kupambana kwa kila namna kumchafua na kumdhoofisha rc wa DSM ndg Paul na hatimaye dalili zote zinaonyesha kugonga mwamba, naona kundi hilohilo linahamishia mapambano kwa Amiri jeshi mkuu. hivi kweli Hawa watu wana weledi? umshindwe rc uje umuweze raisi? kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
PSE be aware, I have warned, ukipambana na raisi unapambana na nchi nzima.
 
Ujinga at the best level, so kudai haki na kusema ukweli ni kupambana na mtu? kwa hiyo rais alivyoweka kampeni kudeal na wafanya kazi fake/vyeti fake alikuwa anapambana na mtu? UJINGA at the best level .....
inaonyesha wewe unafuata mkumbo tu watu wako on the mission, sikulaumu, ufahamu wako umefikia ukomo ndo maana hata km1 mbele au nyuma huoni. hao watumishi wengine waliwahi kuonyesha hapa vyeti vyao? nenda utumishi au kwa muajili wake utakuta photocopy zake.
 
Most of head has prices, mine DO NOT HAVE!!!! period. Kwa nini Rais alimwagiza yule mkuu wa Wilaya kuonyesha vyeti na kumaliza utata? hiki kitu kina public interest is all, get to your senses, ila nyie mkishapewa kitu kidogo hamtaki kufikiri with the right head.
 
if you are not paid for this you are assisting someone on his job for free which is pure ignorancy, wake up ndugu, kama raisi alimwambia Mkuu wa wilaya aonyeshe vyeti maana yake anavyo vya wote, there time come mtaonyweshwa na mtazua jambo jengine
 
Ni aibu ya wote hao wawili. Inavyoelekea wote wanalindana! Kwa kulindana huko wanajivua nguo mbele ya watanzania wote wakubwa kwa wadogo, what a shame? Inavyoelekea hao wawili kila mmoja anajua mabaya yenye aibu ya mwenzake! Anaogopa kumwaga ugali asije akamwagiwa mboga! Huko kwa wenzetu wanaita "black mail"! Hapo mkubwa hana jinsi zaidi ya kujitoa ufahamu!
 
if you are not paid for this you are assisting someone on his job for free which is pure ignorancy, wake up ndugu, kama raisi alimwambia Mkuu wa wilaya aonyeshe vyeti maana yake anavyo vya wote, there time come mtaonyweshwa na mtazua jambo jengine

Sijawahi kulipwa na siwezi kulipwa Kaka, If to do what my heart feels is IGNORANCY, then I take the name!!!! Someone has to speak about Daud is all. Siku njema kaka, ndoja nifanye vya kaisari nilipwe kihalali.
 
baada ya kupambana kwa kila namna kumchafua na kumdhoofisha rc wa DSM ndg Paul na hatimaye dalili zote zinaonyesha kugonga mwamba, naona kundi hilohilo linahamishia mapambano kwa Amiri jeshi mkuu. hivi kweli Hawa watu wana weledi? umshindwe rc uje umuweze raisi? kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
PSE be aware, I have warned, ukipambana na raisi unapambana na nchi nzima.
wanaokubaliana na hali ua uendeshaji wa nchi ni wachache
 
Mleta mada wewe ni mpuuzi wa viwango vyote..

Watu wanadai haki wewe unaleta ukunya-kunya hapa..

Rubbish.
 
Hongera Mh. Rais Magufuli kwa kazi unayofanya hadi inatambulika kimataifa. Mungu akuongezee nguvu ili uendelee kuchapa kazi kwa nguvu na weledi huo huo.
20170317_080830.jpg
20170317_073756.jpg
20170317_080830.jpg
20170317_073756.jpg
20170317_073710.jpg
 
Kusema ukweli sioni aja ya 2020 CCm kupiga kampeni wakati Raise Magufuli anatosha kabisa na atashinda kwa wingi tu ni hayo tu pesa za kampeni wekeni kwenye Maendeleo Magufuli atapita tu kwa wingi maana mambo anayo yafanya hadi raja
by Ex ukawa
 
Beautiful indeed! Mwenye Enzi Mungu azidi kukuongoza rais wetu!
 
Siri ya kaburi aijuaye maiti... Hao wanachoona ni kwamba kaburi limepambwa kwa marumaru zinazong'aa kumbe humo ndan kunawaka moto balaa!!!
Hawawez kujua kinachoendelea ndan ya tanzania zaid kuliko watanzania wenyew waachen tu waendelee kumsifu lkn ss wenyee tunajua yanayotusibu
 
Back
Top Bottom