Hahahaha,mm ni mTz ndg tena ngosha haswaa!Huo uandishi wako sidhani kama ni mtanzania, labda msukule wa kitz
Kali haswaaaSija wahi ona Baba ana jisifu kupendwa na watoto wa jirani, wakati wanae wanamuona ni mpumbavu na hawampendi.
Hii nayo kali
Hz huwa c hbr r
Rafiki hasa kwa wale team wema
Ha ha ha haaIpo cku utakuja kusema Mke wa jiran yako anakupenda kuliko mkeo
Usiombe kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.Wanajua wanachofaidiNipo Kigali, Rwanda. Hakika haja na upendo wa wanya Rwanda kwako ni wakistaajabisha na kuufurahia sana!Nathubutu kutamka kwamba inawezekana upendo wao kwako ni zaidi hata ya wetu RAIA wa Tz ambao kila siku tunakusema kwa ubaya tu!
Hapa Kigali, eneo ambalo mkutano wa wabunge wa Afrika mashariki unafanyika hakika kila mtu anataka kufahamishwa kuhusu ww.Wengine wana thubutu hata kutamani uwe RAIS wao!
Wengi wanataka kufahamu pia km utahudhulia mkutano huu.Hakika ww ni mfano wa kuigwa.
Nimejisikia fahali sana kuwa mta Tz.Lkn napata fahali zaidi niulizwapo kuhusu ww kwa mema!Natembea kifua mbele huku nikidunda kwa maringo kabisa.Yote haya nayafanya kwa sababu ya heshima ya Tz uliyoirejesha kwetu sisi RAIA wa Tz.
HAKIKA natamba kwa sababu ya heshima yako.
Siyo kweliHivi uturuki nchi masikini ulaya ndio inadhamini ujenzi wa reli yetu?
Ni ndoto,hawana hiyo hela,maisha yao tu yanawashinda
Tutarudi kwa mchina soon!!
Bashiterapahabari wadau..
katika zawadi kubwa sana kikwete aliyowai kutupatia watanzania... ni kucheza makarateka hadi magufuli akapata nafasi...
huyu baba wa chato ni jembe kweli kweli..
anamaliza upigaji pole pole wale wezi wote wanaisoma namba...
na uzuri wa ccm mwenyekiti ana nguvu kupitisha jina la rais anaefata... nina imani Mungu akimuweka hai 2025 magufuli lazima atuletee jembe lingine tena zaidi yake kuashiria wapigaji hawapati nafasi tena....
ccm mpya ni ya majembe tu hadi 2050 tanzania itakuwa kama china full maendeleo..
-Oyeee endelea kukaza tu.Ha ha ha haaaaaa
JPM oyeeeeeeeeeeeeeee
Na bado
Mimi naungana na wewe kwa 100%Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.