Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Achana Na Hayo Madawati
Habari Kubwa Daudi Albert BashiteOnyeshaVyeti
 
Umemaliza?
 
Uliye anzisha uzi huu ndiye mshika bango kwamba hajafanya chochete kitendo cha kuanzisha 'thread' ya namna hii ni uchochezi tosha
 
Kwanini tunasema fulani ni mbaya? Ni kwasababu mabaya yake yamezidi mazuri. Na ndivyo ilivyo kwa mzuri. Je unaamini Idd Amin hakuwa na mazuri yake?
 
weee hilo la madawati kaa kimya njoo shuleni kwetu uone watoto wanavyokaa chini...

acha unafki tena hapa hapa dar
 
weee hilo la madawati kaa kimya njoo shuleni kwetu uone watoto wanavyokaa chini...

acha unafki tena hapa hapa dar
shule gani uitaje me mbona kila kitu nimekitaja itaje, na manspaa yake na uzuri nko dar
 
anajengewa standard gauge na ma flyover ndo saizi yake uliza jingine
[QUOE="wasumu, post: 20225599, member: 336213"]Je kapuku atapanda hizo ndege ? Simple question[/QUOTE]
 
shule gani uitaje me mbona kila kitu nimekitaja itaje, na manspaa yake na uzuri nko dar
halafu ili iweje zunguka manispaa zote hapa dar hakuna shule isiyo na ukosefu wa madawati labda zile za mjini za zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…