Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Fikra mgando kama zako ni hatari hata katika mipango yako ya kujiletea maendeleo.

nishachoka kuona movie za kikorea serikalini,ni mtazamo tu pengine nipo sahihi au lah kuwa huru ,huku mtaani vijana hawana kazi wanakaba wakisema HAPA KAZI TU
 
nasema kusanyeni kodi haraka
nasema msisamehe kodi
nasema nafuta safari za nje zinatumia gharama nyingi
nasema hela ya sherehe wa uzinduzi wa bunge nunua vitanda peleka kule pesa hakuna hapa
nasema tupungunze matumizi ya pesa kama peni elfu kumi acheni utani mishahara inatungojea hapo mbele
au tufute sherehe za uhuru tujazie halafu tuwakwepe na kina sharif hamad sio
sasa tangazeni kila tv nabana matumizi ya pesa za umma sawa,ndio mkuu

nimesahau kipi?


Kitila Mkumbo ‏@kitilam Nov 10 Tunahitaji upinzani utakaojikita katika sera mbadala. Upinzani unaotegemea makosa ya serikali ya CCM pekee unaweza kupwaya sana kipindi hiki

jaribuni kufuata huu ushauri labda utawasaidia 2020,kwasababu magufuli si kikwete
 
uhuru uko wapi mnasherekea uhuru. .........roma umesikika magufuli jipu la kwanza hilo safi
 
Tangu ameanza hizo push up mbona yuko palepale. Bodi imeisha muda ,unaivunja. Unamhamisha dkt unamleta prof. Kwani hajui ni nani anapaswa kuwa chief executive wa muhimbili?
 
Miaka mitano ni mingi , tusubiri at least miaka miwili ndo tutapata picha kamili , mbio bado ni ndefu na spidi ni kubwa, je hatochoka njiani akamua kupumzika na kuanza kula vyake?
 
Hakuna namna nyingine Zaidi ya kuungana na Magufuli katika baadhi ya hoja. Kwa sasa naona inayotekelezwa ni Ilani ya ukawa hivyo hapo ukawa watumie busara. WAKANDAMIZE HUMO HUMO kwenye hoja za magufuli. Ccm watakimbia wenyewe watawaachia ukawa magufuli wao
 
Hakuna anachokifanya Rais Magufuli kiko nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM na ahadi zake za hapo kwa hapo.

Kama anachokifanya kinakuwa pia kiliahidiwa na UKAWA basi inaonyesha it's a pressing issues to our nation.

Rais Magufuli ni CCM na ataendelea kuitumikia serikali ya CCM iliyopewa ridhaa ya kutawala na wapiga kura wengi.

Nani amesema bila upinzani asingepatikana Rais Magufuli?

Wenye uwezo wa mambo ndio wanasema hivyo ila washabiki wasio jua tathimini watabaki kushabikia tu kwani hata jpm anasema atachukua hoja zote wapinzani ambazo ni nzuri kwa manufaa ya watu wote bila kujali vyama
 
Tukubali bila ya upinzani tusingrmpata Magufuli, bila upinzani tusingekuwa tunamsifu Magufuli leo , bila upinzani tusingefika hapa! Upinzani uendelee kuwepo ili kuwe na ushindani na wananchi wafaidike

Kweli mkuu anayotekeleza jpm ni hoja za wapinzani toka zamani ikumbukwe mara nyingi wabunge wa upinzani wamehoji tija ya safari za jk lakini walipingwa kwa zote Leo jpm ameliona kuwa ni la muhimu
 
wamemkubali kwa kuopy waliyokuwa wanayanadi kila siku majukwaani,kaacha ya ccm kafata ya Ukawa ambayo ndio vilio vya wananchi
 
Rais Dk. Magufu ana nia ya kweli kulijenga taifa imara. Wiki mbili sasa nipo Arusha asilimia kubwa ya wakazi wa Arusha wanaanza kumkubali hasa ile yotuba yake ya Ijumaa tar20 bungeni. Kila la kheri Rais wetu mpendwa.

Huyo ndio rais hata afanye vibaya angekubaliwa tu kwa sababu keshachaguliwa saa hizi ni mapema sana kujua misimamo ya watu subiri 2020 kwanza wataingia wapira kura wapya wengi tunachopaswa kuomba kilichoahidiwa kitekelezwe ila sio kuhama vyama vyetu maana kuwepo kwao ndio kunamfanya aongeze kasi kutekeleza
 
BABA UTALAZA WATU NJAA

Mara ya kwanza ulivamia ofisi za wizara ya fedha


Mara ya pili ukala korosho na makatibu wakuu

Mara ya tatu ukavamia Muhimbili

Mara ya nne ukavamia bandali


Haikutosha ukapiga stop safari za nje(mpk ukapelekea taifa stars ipigwe wiki kwa kukaid amri😀

Ile hela ya sherehe ya bunge ikaja Muhimbili watu wakaishia kupiga miayo

Sasa hakuna sherehe za uhuru!!

Utalaza watu njaa mzee😀😀😀

Sijui kesho utakuja na lipi??

Gadyson Baita
Mchambuzi wa siasa na kada UVCCM
?2015
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Nakumbuka UKAWA walisema wakipunguza Safari tu watoto wanaweza kusoma bure hadi Chuo kikuu.Halafu acheni utahahira bila upinzani msingekuwa na Magufuli.Na ameanza Kweli kushughulikia vile vitu vilivyokuwa vikipigiwa kelele na UKAWA.Hii ni mafanikio kwa UKAWA na sasa kibao kimebadilika CCM ndo WATAISOMA no make ndo walikuwa wafaidika wa hizi Safari. Nia ya ukawa Pamoja na Elimiu,ilikuwa ni kuhakikisha serikali inapunguza matumizi yake,huduma Za afya,Maji n,k.Sasa Magufuli kaanza navyo.Watu walikuwa wakiwa beza sasa wanaamini UKAWA kelele zao hazikuwa Za bure.
ccm huwa wadandia hoja wakitoka hapo mtaa mzima utawajua kwa majivuno,lakini baada ya muda wana fail tena sio kidogo ile mbaya,we angali 2000 walibaka hoja ya CUF kufuta kodi ya kichwa wakaiiba baada ya muda tu wananchi wakaanza kusaga na rumba mtaani kila wanacho nunua kodi,mpaka kuja kufikia kwa Mkwere hali mbaya kipato hakiendani na kodi unayolipa kwenye kila huduma,elimu bure wameiga matokeo yake katika utekelezaji ndio tukaanza kutengenezewa form one ambao hawajui kusoma wala kuandika,tumetoka hapo wakadandia katiba mpya wakijua mambo rahisi rahisi kujakufikia hatua ya maamuzi wao kwa wao wakashindwa kuelewana mpaka wakaanza kutishana,matokeo yake no katiba mpya mpaka leo..Huyu nae kaja anadandia hoja zawatu wakati kabeba watekelezaji wabovu wabovu watu wakujikomba na kujipendekeza tu kama management ya PSPF,CRDB,NMB nawote alio watoa nishai wakati wanachangia hela za sherehe ya wabunge
 
Sio njaa tu bali watu wataingia na umaskini kabisa kwa kufilisiwa. Kuna watu wamekopa mabenk wakitarajia tenda mbalimbali za serekali zikianza walipe madeni, watu wanajenga majumba makubwa wakitarajia kupata pesa toka safari za nje nk. Wewe hapo unategemea nini?
 
Back
Top Bottom