Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hakuna ukweli wowote ambao anausimamia huyu jamaa yetu
 
Sasa kama akili zenu zinafanana lazima tu mtafurahiana matendo yenu!
 
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini Leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibidamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa.Wakati wa uchaguzi mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
 
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
 
Q
 
Duuh itakua viatu vya bora
 
Mods wakiuacha huu uzi mpaka kesho basi ntaamini JF imeshuka hadhi mnoo


Anyways, Hongera na wewe umeweza kuanzisha Thread....
 
ungeweka sifa za rais bora halafu ungezioanisha na rais wetu magufuli kutokana na uhalisia hapo ningekuelewa lkn hizo umeweka mbwembwe tu
 
Katika historia, Tanzania wala Africa nzima haijawai kupata rais anayesifiwa na mataifa yote ulimwenguni...Magufuli ni wa kwanza...ardhi ya tanzania imetoa zao linaloangaza na kutumika kama mfano dunia nzima...
 
Nahisi utakuwa umetoroka milembe hebu rudi kwanza ukamalize dozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…