Joe Doe
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 484
- 918
Kasifiwa na nani na wewe?Katika historia, Tanzania wala Africa nzima haijawai kupata rais anayesifiwa na mataifa yote ulimwenguni...Magufuli ni wa kwanza...ardhi ya tanzania imetoa zao linaloangaza na kutumika kama mfano dunia nzima...
Tutamsifia tutakapoona uchumi kwa ujumla unastabilize, utawala bora wa sheria, vipaumbele na mipango ya maendeleo inayotekelezeka na sio kutafuta cheap popularity kwa watu wasio na uelewa wa jinsi mambo yanavyoenda kwa sasa, kiuhalisia hali haipo sawa kabisa, serikali inashindwa tu kuweka wazi badala yake inaforce king.