Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kumbe JF ni ya ubaguzi.Basi haifai.Mi nilidhani mna mawazo huru,kumbe mnataka kusikia mawazo ya aina moja tu!.
Wala JF hawana tatizo wala ubaguzi ila ni ugeni wako ti ndio tatizo maana huelewi A wala Be. Upo upo tu.
 
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
we jamaa K
 
Wewe upo kimara bonyokwa unasema magufuli anasifiwa na mataifa yote. Tuulize sie tunaokaa ughaibuni ujue jinsi jamaa credibility yake ilivyokufa.
We unadhani leo hii kwenye suala la upatikanaji wa taarifa kuna tofauti kati ya mtu aliyeko kimara na sydney australia? Mimi niliopo kimara naweza nikapata taarifa iliyotekea mtaa wa tatu kutoka unapoishi wewe hapo Alexandria Egypt kabla hata wewe mwenyewe hujaipata...boy...open your narrow mind
 
Hahahaa, we msomali ni shida. Mi sipo Alexandria asee, nipo Lamu kwa baba moi.
 
RAIS Magufuri ni Rais bora nchini Tanzania kiliko rais wa wakati wowote uliopita.

Lengo la kusema hivi najua mimi na nia ya kusema hivi naijua mimi.

Chapeni Kazi vijana acheni kulala kama mnapandisha mlima tumia tumia gia na moja kuvuka kigingi.
 
IMG_20170406_190512.jpg
 
Rais Wangu jua ya kuwa unapendwa sana na wala usihofu na endelea kupiga kazi kwa moyo wako wote na usirudishwe nyuma na mtu yeyote. Napenda kukufahamisha ya kuwa kazi yako inaonekana sana na endelea kulitumikia taifa hili na ninakuhakikishia kuwa watanzania wengi tupo nawe .
Mwisho usiwe na wasiwasi kabisa juu ya uongozi wako na 2020 utashinda kwa kishindo.
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Kutufikisha mahali si issue. Tatizo ni hapo mahali atakapolifikisha taifa.
 
ni mara chache sana binadamu wote kushukuru jambo kwa wakati mmoja.

leo mimi na wengine wengi tunamshukuru na kumpongeza JPM kwa kazi nzuri anayolifanyia taifa hili, hapohapo kuna wengine wana mlaani na kumtukana kana kwamba sijui kawafanya nini. ndivyo maisha yalivyo na ndivyo binadamu tulivyo.

Kikwete walimtukana kila aina ya tusi na dharau za kila aina, cha ajabu hao hao leo wanamkumbuka na wanatamani awe rais tena. hao ndio binadamu, hata Mwenyezi Mungu Muumba wa mbigu na ardhi kuna binadamu hawamshukuru na hawaoni umuhimu wake.

JPM piga kazi, tuko pamoja na wewe, sie tumeshakukubali na tunaendelea kukukubali, kuna watakaokukubali mwakani, na pia kuna kuna watakaokufuata chato enzi hizo umeshapumzika waje wakuambie kweli wewe ndio ulikuwa rais.

ndivyo binadamu tulivyo.
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Uzi wa kitambo, nimeucheki leo na nimeulinganisha maudhui yake na matunda yaliyomea hadi sasa.

Mengine nawaachia Critical thinkers
 
Back
Top Bottom