1-kwa kutoa elimu bure shule ya msingi mpaka sekondar.
2-ujenzi Wa Reli mpya na kisasa unaoanza muda mfupi ujao.
3-Ujenzi Wa flyovers (tazara na Ubungo ) mmeshuhudia wenyewe.
4-Ujenzi Wa madaraja mapya na kisasa ,,mf furahisha mwanza .
5-Kupunguza idadi ya ujangili ktk mbuga zetu kwa asimilia 75.
6-Kuleta Uadilifu wakazi na sasa watu wanaheshimu kazi mnoo.
7-Mahakama sasa hazipendelei yaan unavuna ulichokipanda .
8-Kutoa mikopo kwa wanaostahili .
9-Kuboresha Huduma za afya vijijin na na mjini,, Nahapa ninawachukia kwasababu wamekuja nampango madhubuti wakusaidia zahati ,,vituo vya afya na hospitals zilizovijijin zinapata wahudumu wakutosha mpaka raha .
10-Kuthubutu kupitia upya mikataba mbali mbali ya madini nahii ikiwa ni pamoja na kuzuia usafirishaji Wa mchanga Wa madini.
11-Kutoa ajira kwa wanaotakiwa tuuu,, poleni mlosoma ualim Wa arts ajira ni 2019 hapo ..,
12-Upatikanaji Wa ajira sasa ni Sifa zako yaan elimu ,, no undugu tena..mlizoea kuingizana ovyo Uhamiaji ,, NSSF ,NHC n.k .
13-Jamaa kapunguza Rushwa kwa kiwango kikubwa ,,,ilobak labda ni rushwa ya ngono ,,nayo sema nisababu mnapenda ngono tuuu.
14-Namchukia kwasababu Kafanya Watu Wa Heshimu Pesa ,,, hapa mlizoea kuonga mpaka millions of money kwa dems zenu while outside there watoto yatima hawana njaa ,, mavazi,,wala malazi ,,, kawakomesha siku izi mnatumia Wimbo Wa mwana FA kujipa umwamba kumbe Pesa Hamna .....mpaka raha.
15-Madada nao Wamebadilika kutoka utegemezi mpaka Utafutaji binafsi ...hongereni.
16-Kuimarisha ulinzi na usalama ,,,Hapa nachukia sababu TISS wanatumika kweli kweli hadi raha ....Mtu anayeonekana ana elements za kuchafua hewa mara moja anafundishwa namna ya kuishi na huwa arudii tena.
17-Nachukia sababu kafanya watu wafanye kazi ,,,,,,,hapa aliposema Msipofanya kazi mtakufa ,, hahahah kweli mngekufa , msukuma hajaribiwi.
18-Majeshi yetu sasa yana Mazingira mazuri, mishahara ilonona,,makazi mazuri ,, wanasikilizwa ,, kwann wasimchukie ???
19-Ndege kanunua mpya ,, viwanjs vya ndege vinajengwa na kuboreshwa
20- kwakweli jamaa namchukia sana kwa matendo yake hamna namna ....Fanyeni kazi mpate kuishi ...bila ivyo mtaishia kuperish.