Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mh. Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli, Salaam. Nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia watanzania Rais bora, mzalendo na anyeipenda nchi yetu ya Tanzania na watu wake wote. Hakika kama unavyosema hii nchi yetu ilikuwa imefikia pabaya na wakati mwingine inabidi tuwe wavumilivu unapochuku hatua binafsi nakuunga mkono. Mimi sina cha kusema zaidi ya kukuombea Mungu akutangulie katika kazi zako. Najua kwa sasa unawakera watu wengi kwa sababu tu walizoea maisha fulani na sasa wanakutana na hali tofauti. Naamini ipo siku haohao siku ukimaliza vipindi vyako watakuwa wakikuona unapita watakuwa wanapiga kelele na kusema tume kumiss.
 
Huyu MZEE atakuwa ni RAIS bora kuwahi tokea TANZANIA....ni suala la MUDA TU.....
Ogopa sana watu wenye pesa,wauza madawa ya kulevya pale tu una block mianya yao ya kupata PESA na pindi wanapohitaji urafiki na wewe still bado unawatupilia mbali AISEEH lazima watafute plan B ya kupambana na wewe....na ndicho tunachokiona sasa HAWA WATU WACHAFU wanatumia pesa zao walizopata kwa njia zisizo hali kuhakikisha MAGUFULI atimizi lengo lake na kuhakikisha WANAMJENGEA CHUKI RAIS na wananchi wake....HII VITA SI YA LELE MAMA......
Kinachonivutia zaidi MAGUFULI ANAJUA KUDEAL NA HAWA WAPUUZI...mfano mdogo tu NI MANJI...still bado na wengne wanafuata,,tutafuata mpaka huko chumbani kwao.....
Na rais anatakiwa kuweka PAMBA MASIKIONI asisikilize hizi kelele za hawa WAPUUZI..yeye afanye yale yote aliyohaidi....NA KWELI TUNAYAONA YALE YOTE aliyohaidi akiyatekereza kwa kasi nzuri sana....hata kama kunakushindwa kwa machache hilo si TATZO maana binadamu tumeumbiwa MAPUNGUFU......
Yeye atunyooshe tu....Mpaka akili zetu zitakapo kaa sawa.....THEN 2025 tutaamua je tunataka RAIS aina ya KIKWETE au MAGUFULI.....tutajaji hili kupitia MAHALI alipotufikisha JPM na mahali alipotuacha JK......
 
Mh. Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli, Salaam. Nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia watanzania Rais bora, mzalendo na anyeipenda nchi yetu ya Tanzania na watu wake wote. Hakika kama unavyosema hii nchi yetu ilikuwa imefikia pabaya na wakati mwingine inabidi tuwe wavumilivu unapochuku hatua binafsi nakuunga mkono. Mimi sina cha kusema zaidi ya kukuombea Mungu akutangulie katika kazi zako. Najua kwa sasa unawakera watu wengi kwa sababu tu walizoea maisha fulani na sasa wanakutana na hali tofauti. Naamini ipo siku haohao siku ukimaliza vipindi vyako watakuwa wakikuona unapita watakuwa wanapiga kelele na kusema tume kumiss.
Una roho ngumu sana dada. Sawa tumekusikia.
 
Ila kwa kusema kweli anawanyoosha vizuri sana,mbona kuheshimiana kumerudi tayari.God bless magufuli.
 
Uzi huu ni kwa ajili ya kutupia mambo mema tu ambayo mkulu ameyafanya ili kweli isimame 2020
Karibuni
 
1-kwa kutoa elimu bure shule ya msingi mpaka sekondar.
2-ujenzi Wa Reli mpya na kisasa unaoanza muda mfupi ujao.
3-Ujenzi Wa flyovers (tazara na Ubungo ) mmeshuhudia wenyewe.
4-Ujenzi Wa madaraja mapya na kisasa ,,mf furahisha mwanza .
5-Kupunguza idadi ya ujangili ktk mbuga zetu kwa asimilia 75.
6-Kuleta Uadilifu wakazi na sasa watu wanaheshimu kazi mnoo.
7-Mahakama sasa hazipendelei yaan unavuna ulichokipanda .
8-Kutoa mikopo kwa wanaostahili .
9-Kuboresha Huduma za afya vijijin na na mjini,, Nahapa ninawachukia kwasababu wamekuja nampango madhubuti wakusaidia zahati ,,vituo vya afya na hospitals zilizovijijin zinapata wahudumu wakutosha mpaka raha .
10-Kuthubutu kupitia upya mikataba mbali mbali ya madini nahii ikiwa ni pamoja na kuzuia usafirishaji Wa mchanga Wa madini.
11-Kutoa ajira kwa wanaotakiwa tuuu,, poleni mlosoma ualim Wa arts ajira ni 2019 hapo ..,
12-Upatikanaji Wa ajira sasa ni Sifa zako yaan elimu ,, no undugu tena..mlizoea kuingizana ovyo Uhamiaji ,, NSSF ,NHC n.k .
13-Jamaa kapunguza Rushwa kwa kiwango kikubwa ,,,ilobak labda ni rushwa ya ngono ,,nayo sema nisababu mnapenda ngono tuuu.
14-Namchukia kwasababu Kafanya Watu Wa Heshimu Pesa ,,, hapa mlizoea kuonga mpaka millions of money kwa dems zenu while outside there watoto yatima hawana njaa ,, mavazi,,wala malazi ,,, kawakomesha siku izi mnatumia Wimbo Wa mwana FA kujipa umwamba kumbe Pesa Hamna .....mpaka raha.
15-Madada nao Wamebadilika kutoka utegemezi mpaka Utafutaji binafsi ...hongereni.
16-Kuimarisha ulinzi na usalama ,,,Hapa nachukia sababu TISS wanatumika kweli kweli hadi raha ....Mtu anayeonekana ana elements za kuchafua hewa mara moja anafundishwa namna ya kuishi na huwa arudii tena.
17-Nachukia sababu kafanya watu wafanye kazi ,,,,,,,hapa aliposema Msipofanya kazi mtakufa ,, hahahah kweli mngekufa , msukuma hajaribiwi.
18-Majeshi yetu sasa yana Mazingira mazuri, mishahara ilonona,,makazi mazuri ,, wanasikilizwa ,, kwann wasimchukie ???
19-Ndege kanunua mpya ,, viwanjs vya ndege vinajengwa na kuboreshwa

20- kwakweli jamaa namchukia sana kwa matendo yake hamna namna ....Fanyeni kazi mpate kuishi ...bila ivyo mtaishia kuperish.
39e35305d53232b3db21010ef999c61c.jpg
 
tungeshakufa kwa presha mi naomba mungu miaka yake iishe haraka sana apotee na hii picha hapa ofisini iteremshwe..............


halafu nawaza tu hapa anazindua mambo ya jk atakayemfwatia yeye atazindua kitu gani?
 
Mspinduzi yapi Tazara flyover au Ubungo interchange au labda mapangaboi?
Fika Kakokonko wakueleze kama zina maana yoyote kwao.
Jasho na mapovu tele hakuna la maana
 
Magufuli anafanya mapinduzi makubwa sana katika hii nchi, Ansaitahili kuungwa mkono na wazalendo wote hapa nchi sio kumuchokonoa chokonoa kunakofanywa na wachumia tumbo.

AMINA, NA IWE HIVYO. TUNAMUOMBEA UZIMA, HEKIMA NA UVUMILIVU. WATAMUELEWA TU KAMA SIYO SISI, BASI WATOTO WETU.
 
2020 tunamaamuzi ya kufanya, tunataka mafisadi warudi na kutafuna nchi hii au wasirudidi? Tunatala serikali iliyo Kali na ubadhikifu wa mali ya umma na kuchekea wakwepa kodi au hatutaki? Tunapendelea kuwa na wafanyakazi hewa na safari za nje zisizo na jita au hatupendi? Tunataka wauza unga watambe tena kwenye mtaa yetu au hatutaki?
 
Back
Top Bottom