Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kuna watu wameulizwa swali rahisi sana..nani mbadala wa Magufuli kwa sasa? Naona wanaishia kutoa povu. Magufuli kawashika pabaya..2020 mje humu tupime mafanikio ya Magufuli afu mtuambie nani anafaa . Roho zonawatika kila wakisikia Magufuli..Mwafaa.
 
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
huish tz xo tukaushie bhn ..hatutak kutukana bhn kwa huyo uchokoz wako
 
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Hopeless kabisa wewe
 
Lengo lako hasa !!
 
Last Activity:
15 minutes ago
Joined:
Yesterday
Messages:
10
Likes Received:
5
Trophy Points:
5
Liked:
0
Tutawajua kwa rangi zenu maana wengi mmeanza kujiunga juzi,jana na wengine leo , na wote mmekuja kwa kazi inayo fanana,HOMGERA naona mna change ID tu.
 
Kuna watu wameulizwa swali rahisi sana..nani mbadala wa Magufuli kwa sasa? Naona wanaishia kutoa povu. Magufuli kawashika pabaya..2020 mje humu tupime mafanikio ya Magufuli afu mtuambie nani anafaa . Roho zonawatika kila wakisikia Magufuli..Mwafaa.
Mbadala wa Magufuli labda Bashite ndo anafaa.
 
Nyerere alimsingizia?.Nyerere kwa nini amchukie.Nyerere aliwahi kumuuliza swali gumu ambalo siwezi kulitaja hapa.Hafai na ndiyo maana watz walimkataa.Kampeni alianza mapema lakini akapigwa tu.
Na haya ndio matatizo yenu vijana wa CCM. Nyerere hakuwahi kumchukia lowassa hata siku moja. Amchukie kwa kipi? Niletee ushahidi hapa kwamba nyerere alimchukia lowassa. Mnalishwa propaganda na mazee ya ccm na nyie mnakurupuka.
 
Ni heri yule anayekwambia mapungufu yako kuliko yule anayekusifia kwa kila kitu hata ukifanya ujinga. Kuna mzee mmoja amewatengenezea watu utamaduni wa kumsifia hata akifanya utumbo ambao ni nature yake kuufanya.

Ukizingatia watanzania tulivyo wanafki, kwa mtu mpenda kiki kama Yohana ataendelea kusifiwa hata siku atakayosema kutembea barabarani mwisho saa 12 jioni.
 
Last Activity:
15 minutes ago
Joined:
Yesterday
Messages:
10
Likes Received:
5
Trophy Points:
5
Liked:
0
Tutawajua kwa rangi zenu maana wengi mmeanza kujiunga juzi,jana na wengine leo , na wote mmekuja kwa kazi inayo fanana,HOMGERA naona mna change ID tu.
Kumbe JF ni ya ubaguzi.Basi haifai.Mi nilidhani mna mawazo huru,kumbe mnataka kusikia mawazo ya aina moja tu!.
 
Principles za utawala bora ziko nme, namely;
1 participation
2 accountability
3 transparency, and;
4 rule of law..

Angalia hizo principles halafu akili mukichwa
 
Katika historia, Tanzania wala Africa nzima haijawai kupata rais anayesifiwa na mataifa yote ulimwenguni...Magufuli ni wa kwanza...ardhi ya tanzania imetoa zao linaloangaza na kutumika kama mfano dunia nzima...
Unamaanisha nini kusifiwa na mataifa yote?
Nini maana ya MATAIFA?
Mataifa yote maana yake nini?
Nitajie mataifa YOTE yaliyomsifia Rais wetu.
Halafu na critics/criticism wote/zote zilizowahi kuelekezwa kwake useme zenyewe zinatokea mataifa gani yaliyo nje ya Mataifa yote.
 
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
ndugu urio wameru hawajawahi kuwa wajinga hivi!!? Hâta wavute bangi ya sing'isi. Pole
 
Watu mtakuwa mataahira mliokubuhu. Hata Nyerere pamoja na kupigana vita hajawahi kupeleka 2% ya bajeti ya Kilimo kinachiliajiri 80% ya population. Halafu mnaanzaje kumsifia mtu wa namna hii???
 
Katika historia, Tanzania wala Africa nzima haijawai kupata rais anayesifiwa na mataifa yote ulimwenguni...Magufuli ni wa kwanza...ardhi ya tanzania imetoa zao linaloangaza na kutumika kama mfano dunia nzima...
Wewe upo kimara bonyokwa unasema magufuli anasifiwa na mataifa yote. Tuulize sie tunaokaa ughaibuni ujue jinsi jamaa credibility yake ilivyokufa.
 
Back
Top Bottom