JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kuna watu wameulizwa swali rahisi sana..nani mbadala wa Magufuli kwa sasa? Naona wanaishia kutoa povu. Magufuli kawashika pabaya..2020 mje humu tupime mafanikio ya Magufuli afu mtuambie nani anafaa . Roho zonawatika kila wakisikia Magufuli..Mwafaa.