masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kama si juhudi binafsi za Mh Dr Magufuli, miradi mingi ya maendeleo ingekuwa ndoto za mchana au Tanzania kuingizwa mkenge kiaina.
Flyover ya TAZARA si wengi wanaofahamu kuwa imesuasua kwa karibu miaka sita!
Interchange ya Ubungo imekuja ghafla bin vuu!
Ujenzi wa reli SGR umeanza, tena kwa gharama nafuu kuliko wenzetu majirani, Kenya.
Sijui watanzania mgetaka vipi tena!
Kelele za mlango wekea oili bawaba, zitaisha tu.
Magufuli, piga kazi mwanawane!