Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kwa katiba ipi na Sera zipi kwa sera mlizoandikiwaWakuu kutokana na utendaji mzuri wa Rais JPM Magufuli na kuwa kiongozi wa kupigiwa mfano Africa na Duniani na ili Taifa letu lifike pale ambapo Nchi nyingi za Kiafrika kimaendeleo zimefikia.! Tukijielekeza katika Mfano wa Rwanda na Uganda.Na sudan kaskazini.
Napendekeza Rais wa Nchi Yetu Ndugu John Joseph Pombe Magufuli aongoze Nchi yetu mpaka 2050.
[HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] mpaka 2050# mimi kura yangu nimeshapiga sijui wewe.