Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Katika historia, Tanzania wala Africa nzima haijawai kupata rais anayesifiwa na mataifa yote ulimwenguni...Magufuli ni wa kwanza...ardhi ya tanzania imetoa zao linaloangaza na kutumika kama mfano dunia nzima...
Kasifiwa na nani na wewe?
Tutamsifia tutakapoona uchumi kwa ujumla unastabilize, utawala bora wa sheria, vipaumbele na mipango ya maendeleo inayotekelezeka na sio kutafuta cheap popularity kwa watu wasio na uelewa wa jinsi mambo yanavyoenda kwa sasa, kiuhalisia hali haipo sawa kabisa, serikali inashindwa tu kuweka wazi badala yake inaforce king.
 
Sisi tunaomfahamu rais wetu wala hatuna mawazo tunaelewa mda fulani unaikuja tutafurahi ila kwa sasa walio wengi hatutaelewa
 
Taja mwingine kama yupo.Je,in Lowassa?
 
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Hawa wanaobadili sura na kuja kama wapya huwa wanafurahisha
 
Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Siamini kama mawazo yako ndipo yalipoishia hapo! [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Duh!mbege ni kitu kibaya sana na ningejua mwl aliyekufundisha ningewaweka mahabusu
 
Mbona hutaji mbadala?
Mbadala kutoka wapi na yeye ndo wa hovyo kuliko wote? Bora angechaguliwa lowassa. Mmemsema mzee wa watu mpaka sasa hata mahakama ya mwanzo mmeshindwa kumpeleka.na mtazidi kuumbuka wote mliomsingizia yule mzee
 
Naona vijana wa Lumumba mmeamua kumsifia mfalme wenu.Binafsi mpaka sasa sioni alichofanya zaid ya kumpenda mkuu wa mkoa wa Dar kama anavyoipenda nafsi yake.
 
Sisi tunaomfahamu rais wetu wala hatuna mawazo tunaelewa mda fulani unaikuja tutafurahi ila kwa sasa walio wengi hatutaelewa
Hiyo furaha utatoa wapi wakati yupo busy kuuwa uchumi wa nchi? Mjomba tujiandae kugawana mbao boti inazama hii. Babu kipara alichobakiza ni kutafuta kiki tu leo kwenye mchanga kesho bandarini
 
Nahisi utakuwa umetoroka milembe hebu rudi kwanza ukamalize dozi

Hivi wewe umeolewa?

Bashite mkubwa wewee

Naona hujakaa sawa tafuta bwana akutulize

Siamini kama mawazo yako ndipo yalipoishia hapo! [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Duh!mbege ni kitu kibaya sana na ningejua mwl aliyekufundisha ningewaweka mahabusu

Kwa wasiojitambua
Dah..... Ndiyo hoja hizi[emoji13] [emoji13]
 
Mbadala kutoka wapi na yeye ndo wa hovyo kuliko wote? Bora angechaguliwa lowassa. Mmemsema mzee wa watu mpaka sasa hata mahakama ya mwanzo mmeshindwa kumpeleka.na mtazidi kuumbuka wote mliomsingizia yule mzee
Nyerere alimsingizia?.Nyerere kwa nini amchukie.Nyerere aliwahi kumuuliza swali gumu ambalo siwezi kulitaja hapa.Hafai na ndiyo maana watz walimkataa.Kampeni alianza mapema lakini akapigwa tu.
 
Kwa kipi? Elezea kafanya nini chenye ubora mana kwa sura hapana...
 
Back
Top Bottom