Fikra mgando kama zako ni hatari hata katika mipango yako ya kujiletea maendeleo.
nasema kusanyeni kodi haraka
nasema msisamehe kodi
nasema nafuta safari za nje zinatumia gharama nyingi
nasema hela ya sherehe wa uzinduzi wa bunge nunua vitanda peleka kule pesa hakuna hapa
nasema tupungunze matumizi ya pesa kama peni elfu kumi acheni utani mishahara inatungojea hapo mbele
au tufute sherehe za uhuru tujazie halafu tuwakwepe na kina sharif hamad sio
sasa tangazeni kila tv nabana matumizi ya pesa za umma sawa,ndio mkuu
nimesahau kipi?
iwe kifuu au mabua cha muhimu tumeona matunda yake.Miaka mi5 ni mingi mno, hiyo kasi ya sasa ni moto wa kifuu.
Hakuna anachokifanya Rais Magufuli kiko nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM na ahadi zake za hapo kwa hapo.
Kama anachokifanya kinakuwa pia kiliahidiwa na UKAWA basi inaonyesha it's a pressing issues to our nation.
Rais Magufuli ni CCM na ataendelea kuitumikia serikali ya CCM iliyopewa ridhaa ya kutawala na wapiga kura wengi.
Nani amesema bila upinzani asingepatikana Rais Magufuli?
Tukubali bila ya upinzani tusingrmpata Magufuli, bila upinzani tusingekuwa tunamsifu Magufuli leo , bila upinzani tusingefika hapa! Upinzani uendelee kuwepo ili kuwe na ushindani na wananchi wafaidike
Rais Dk. Magufu ana nia ya kweli kulijenga taifa imara. Wiki mbili sasa nipo Arusha asilimia kubwa ya wakazi wa Arusha wanaanza kumkubali hasa ile yotuba yake ya Ijumaa tar20 bungeni. Kila la kheri Rais wetu mpendwa.
ccm huwa wadandia hoja wakitoka hapo mtaa mzima utawajua kwa majivuno,lakini baada ya muda wana fail tena sio kidogo ile mbaya,we angali 2000 walibaka hoja ya CUF kufuta kodi ya kichwa wakaiiba baada ya muda tu wananchi wakaanza kusaga na rumba mtaani kila wanacho nunua kodi,mpaka kuja kufikia kwa Mkwere hali mbaya kipato hakiendani na kodi unayolipa kwenye kila huduma,elimu bure wameiga matokeo yake katika utekelezaji ndio tukaanza kutengenezewa form one ambao hawajui kusoma wala kuandika,tumetoka hapo wakadandia katiba mpya wakijua mambo rahisi rahisi kujakufikia hatua ya maamuzi wao kwa wao wakashindwa kuelewana mpaka wakaanza kutishana,matokeo yake no katiba mpya mpaka leo..Huyu nae kaja anadandia hoja zawatu wakati kabeba watekelezaji wabovu wabovu watu wakujikomba na kujipendekeza tu kama management ya PSPF,CRDB,NMB nawote alio watoa nishai wakati wanachangia hela za sherehe ya wabungeNakumbuka UKAWA walisema wakipunguza Safari tu watoto wanaweza kusoma bure hadi Chuo kikuu.Halafu acheni utahahira bila upinzani msingekuwa na Magufuli.Na ameanza Kweli kushughulikia vile vitu vilivyokuwa vikipigiwa kelele na UKAWA.Hii ni mafanikio kwa UKAWA na sasa kibao kimebadilika CCM ndo WATAISOMA no make ndo walikuwa wafaidika wa hizi Safari. Nia ya ukawa Pamoja na Elimiu,ilikuwa ni kuhakikisha serikali inapunguza matumizi yake,huduma Za afya,Maji n,k.Sasa Magufuli kaanza navyo.Watu walikuwa wakiwa beza sasa wanaamini UKAWA kelele zao hazikuwa Za bure.