Na mimi he is assured of my vote.Ni mjinga tu asiyemuunga mkono JPM.View attachment 513878 Kama user name ilivyo,kuanzia leo nahitaji kumwachia raisi wangu magufuli aendelee tu na huu uraisi mana ni mtu wa maana sana ktk nchi hii,ni mtu asiye tazama urafiki,undugu wala ujama,hongera na mungu akulinde,na nitakuwa wa kwanza kukutetea kwa lolote ndani ya hii forum najua watakuelewa tu
Wewe ni mpuuzi,una siasa za jihadi,utakufa mapemakada wa Lumumba katika ubora wako
Lete vyeti ulivyonavyo wewe vinavyoonesha jina la bashite,then ndio uongee upuuzi wako,usishikwe maskioNyani haoni kundule lake!
Huyu mkulu anapata kitu gani kizuri kutoka kwa Bashite ambapo mama Jesca hana?
Lete vyeti vya bashite kama unavyoNaona lakini siyo kwa bashite
Pamoja na u-Lumumba wako, sentensi moja umeisema ya maana: Kama hawaamini waambie container zipo Dar wawalete wachunguzi wao tupime upya pamoja. Kuondoa uhasama hapo umesema kweli.Kwako number 1 wetu mwenye uchungu na nchi hii,nakuomba kanyaga twende baba wewe kanyaga tu nasema kanyaga twende. Kama hawaamini waambie container zipo Dar wawalete wachunguzi wao tupime upya pamoja.
Number 1 Tanzania nzima ipo nyuma yako Kanyaga twende. Sio lazima tufike wote,
Ndio maana hata nyumbu anaejitenga na wenzie huliwa na Simba mwituni.
Twende baba.
Pia kumbuka kamati ilisema kuna container chache zimepewa ulinzi wa kutosha maana zina zaidi ya mchanga mle ndani.Pamoja na u-Lumumba wako, sentensi moja umeisema ya maana: Kama hawaamini waambie container zipo Dar wawalete wachunguzi wao tupime upya pamoja. Kuondoa uhasama hapo umesema kweli.
Tukubaliane technique ipi tuitumie kupima contents za madini kwenye mchanga! Equal representation of experts kwenye maabara hiyo tutakayoichagua. Then each side can come out to claim kuibiwa/kutoibiwa. Short of that tutalumbana sana na ACACIA
Hili hata Mimi naunga mkono hoja.Pamoja na u-Lumumba wako, sentensi moja umeisema ya maana: Kama hawaamini waambie container zipo Dar wawalete wachunguzi wao tupime upya pamoja. Kuondoa uhasama hapo umesema kweli.
Tukubaliane technique ipi tuitumie kupima contents za madini kwenye mchanga! Equal representation of experts kwenye maabara hiyo tutakayoichagua. Then each side can come out to claim kuibiwa/kutoibiwa. Short of that tutalumbana sana na ACACIA
Mambo ya kanyaga kanyaga tunayaona kwa akina Lizaboni & Co. Ltd! Pole if misconception on you!Pia kumbuka kamati ilisema kuna container chache zimepewa ulinzi wa kutosha maana zina zaidi ya mchanga mle ndani.
Katika hili la U-lumumba sio kweli,mm ni mwana nchi mwenye uchungu kiasi naweza tapika kwa haya madudu yanayo endeleya nchini kwetu.
sawa mkuu...kama wewe utaishi milele Pongezi sanaWewe ni mpuuzi,una siasa za jihadi,utakufa mapema
ninamaanisha unapenda kuweka mambo ambayo si msingi na kuuchosha moyo wako,buresawa mkuu...kama wewe utaishi milele Pongezi sana
Hakuna tabu mfia chamaninamaanisha unapenda kuweka mambo ambayo si msingi na kuuchosha moyo wako,bure