Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nimefikiria Kwa mwezi nakusanya wastani wa Tshs 1.1 Trillion. Kati ya hizo fedha natakiwa kila mwezi nilipe mshahara billion 550 Tshs, alafu matumizi ya kawaida kama safari mafuta na ununuzi wa vitendea Kazi ni billion 340 TShs.kila mwezi.

Jumla ya matumizi ya kawaida na mishahara inakuwa Billion 890 Tshs, nabaki na kiasi cha Billion 210 Tshs. Kutoka kwenye makusanyo yako ya kawaida kwa mwezi.

Sasa hizi Tzs 210 billion ndio kwa ajili ya maendeleo, kujenga reli, barabara, ndege na viwanja vyake, kusambaza maji na umeme nchi nzima, kujenga shule na maabara, kujenga hospitali, kujenga bomba la mafuta, kununua vivuko, haya machache mengine unaweza kuongezea ya kimaendeleo na hapa bado sijapigwa na watoto wa mjini hawa hawazuiliki hata uwe vipi utawapunguza tu au kuweka mazingira magumu ya kupiga lakini watakupiga tu.

Dah hapa lazima upate hekima ya Ki Mungu la sivyo hupigi step kabisa.
 
Watanzania wote bila ya kujali itikadi zetu tuungane kumuunga mkono Rais wetu kwa kuonyesha uzalendo wa hali ya juu

Suala ka kusafirishwa mchanga wenye madini nje ya nchi kweli linahuzunisha sana hasa ukizingatia kuwa hii ni njia ilinayotumiwa na wawekezaji kutuibia na kujinufaisha wakishirikiana na viongozi wasio wazalendo

Nashauri wanasheria wote kwa taaluma yao waungane kwa pamoja waone ni vipi hawa Acacia watashtakiwa kwenye mahakama husika ili wasigeuze kibao

Pongezi kwako Rais Magufuli
 
Kwa hakika rais amethubutu sana kwa sasa ni kusimama kama taifa kwa sababu kuna mambo yaliyoko kwenye sheria na pia rafiki zake wa ccm ni kikwazo kikubwa kwa malengo amabayo ameanzisha.

Kama hatafuti kiki na yuko serious aombe msaada kwa watanzania wote wenye nia njema kutoka vyama vyote vya upinzani na wale wenye nia njema na nchi hii walioko ccm mbwa koko waliotufikisha hapa. Akifanya hivo atafanikiwa lakini akikikomaa kama anavyofanya jeshi la mtu moja mimi nina hakika atafurahi na roho yake

Nadhani jambo alilojaribu kulishughulikia ni kubwa sana kinachotakiwa ni kumpa saporti ya akili ya namna ya kutoka hapa bila kuingia matatizo makubwa.

Kama hujafanya kosa maishani mwako basi hukujaribu kitu kikubwa. Rais amejaribu kufanya jambo kubwa lenye manufaa kwa taifa ila asisahau tumefika hapa kwa ajili ya ccm yake kwa kubariki kila kitu kinachotoka serikalini.

Kama magufuli anataka kuleta utamaduni mpya aje hadharani kuomba radhi watanzania kwa makosa ya chama chake hapo tutamwona muungwa sana lakini kwa vyovyote vile amejaribu kufanaya jambo kubwa kwa manufaa ya taifa
 
mwisho wa ubaya nia aibu. ccm hii aibu ni yenu kwa sababu wapinzania walisema jambo hili kwa miaka kumi ya kikwete
 
Akuombe msaada kwa watanzania wote???? Kwani wewe hujui wajibu wako kwenye kutetea taifa? Kwanini unasubiria mpaka rais akuombe msaada? Unadhani anafanya hayo yote kwaa ajili ya familia yake au kwetu sote na watoto wetu?
 
Akuombe msaada kwa watanzania wote???? Kwani wewe hujui wajibu wako kwenye kutetea taifa? Kwanini unasubiria mpaka rais akuombe msaada? Unadhani anafanya hayo yote kwaa ajili ya familia yake au kwetu sote na watoto wetu?
Ccm ndy mmetufikisha hpa

Ova
 
Yaani wanashangaza sana!
Akuombe msaada kwa watanzania wote???? Kwani wewe hujui wajibu wako kwenye kutetea taifa? Kwanini unasubiria mpaka rais akuombe msaada? Unadhani anafanya hayo yote kwaa ajili ya familia yake au kwetu sote na watoto wetu?
 
Hebu niambie ni mbinguni gani ambaye bwana yule anaweza kukubali k ushauri wa naye?
 
Miaka miwili sasa tangu ashike mikoba ya urais, mh Dr John Pombe Joseph Magufuli ametii kiu ya watanzania na kuonyesha uwezo mkubwa kuliko marais wote waliomtangulia. labda kidoooogo Nyerere. Magu amefanya maajabu ambayo viongozi waliomtangulia hawakudhubutu. huyu mtu ni jasiri na ana akili mno. shkamoo docta.

HILI LA MTU KUHARIBU NA KUTUMBULIWA HALIKUWEPO. WALIKUWA WANAHAMISHWA. SASA HII NI SPIRIT MPYA NA YA KUPIGIWA MFANO. ENDELEA HIVYO HIVYO MHESHIMIWA. TUPO NYUMA YAKO
 
Teua, tengua. Teua, tengua. Teua tengua.
Kwa hilo tu, hana mpinzani!
 
Back
Top Bottom