Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Magufuli jembe la watanzania. Msiompenda kaja. I love you Tz ya Magufuli. Tutafika tu japo kwa jitihada za dhati ulizokuja nazo Kidume cha chato[emoji106] .
 
Kwa kiasi kikubwa tulifanya chaguo sahihi coz kwa kopindi kichache ametusaidia kujua tusiyoyajua kama vile suala la mchanga, vyeti feki n.k. Yaan Magufuli we acha tu. Gari na nauli yako nimeielewa sana. Hahaha
 
Salamu kwenu ndugu!

Kwanza kabisa naomba nitoe pongezi zangu za dhati kabisa kwa mh. Rais John Pombe Magufuli.

Moja ya matamanio yangu ni kuona Tanzania inakuwa yetu sote. Huu ni mwanzo wa kuwa na serikali yenye sura ya utaifa zaidi badala ya uchama zaidi.
Kwa nini amekuja kutengua torati?
Sababu kubwa ni kujali matamanio ya watanzania kuona tunasonga mbele.

Amethubutu kufanya kile ambacho watangulizi wake walishindwa kabisa kufanya,ni mengi achilia mbali hizi teuzi.
Huku chamani nadhani shughuli mnaiona.
Kufanya kazi kwa mazoea sasa inaanza kuwa hadithi. Huu nao ni utenguzi wa torati.
Kuwawajibisha viongozi mara moja,ni utenguzi wa torati.
Kama bado hujakubaliana kaa mkao kabisa ushuhudie torati ikitenguliwa kadiri inavyobidi. Hizi katiba zetu ndio torati zenyewe,ambazo kimsingi zinamengi ya kurekebishwa. Acha Mkuu aendelee kuzitengua torati.
Huyi ndiye mtenguaji torati,Rais John Joseph Pombe Magufuli.
 
Hapa shughuli ni nzito ACT against Chadema!!
 
Mnajaza ma thread kibaoooooi
Ya kwanini nani kachaguliwa mngejaza za tufanye nini kusaidia maendeleo ya nchi tungekuwa mbali.
NASEMA HIVI

MH RAISI CHAGUA UNAOTAKA WATANZANIA TUNATAKA MAENDELEO NA TUNAYAONA ...SWALA KACHAGULIWA NANI TUSIANGALIE HAYOO NA KAMA WA CHAMA TAWAL MNAPIGA KELELE SI MNA NAMBA YA MH RAISI MUULIZENI...MSITUJZIE THREAD ZA AJABU TUNATAKA MAENDELEO


MNATULETEA HIZO KATIBA KWANI HAMJUI MH RAIS ALIKABIDHIWA KATIBA ..YA CHAMA..MUACHE KUJAZA MANANII JF PLS...TUNATAKA AMENDELEOO

KILA LA KHERI MH RAIS WANGU JPM
 
Kuna wengi wetu wanadai kwamba hali ni ngumu kiuchumi na aliyesababisha ni mh Rais kuna mpaka misemo imejitokeza ,usawa wa magu ,mara anko magu . nashindwa kuelewa watanzania mnataka kitu gani sioni ajabu kwani binadam hata apewe dunia aimiliki bado atahitaji kumiliki na sayari nyingine ...mfano mzuri kwa wananchi wa libya ...nyie ni mashahidi maisha anayoishi mwananchi wa libya sio yale aliyokuwa anaishi kipindi akiwepo Rais wa nchi hiyo wakati huo Akiwa Muamar El Gadaffi .. Sasa wewe mtanzania unaeona serikali hii inaongozwa vibaya na hali ni ngumu ? Basi subiri mwaka 2020 Uombe nafasi ya kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa kwa tiketi ya chama kingine ili uchuane nae kwa hoja na sera ili umng'oe madarakani hiyo ndiyo solution ..acha kuropoka tu.bila sababu
 
sioni umuhimu wa kupiga kura.... labda iwe lazima kwa mujibu wa katiba na sheria
 
Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:

1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
 
Ni dikteta ,ni mtu asiyefuata sheria,ni mtu aliyeshindwa kwenye ahadi zake
 
Napenda kukupongeza Rais Mpendwa John Pombe Magufuli kwa hotuba yako nzuri mara baada ya kumuapisha RC Mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro. Katika hotuba hiyo nimependezwa sana na mambo yafuatayo;- 1. Umeonesha wewe huna ubaguzi wa vyama na uko tayari kumteua yeyote ila mradi tu yupo tayari kushirikiana na wewe kueletea nchi yetu maendeleo hata kama anatoka chama tofauti na CCM. 2. Uliposema katika nafasi zako za uteuzi (Bunge) hutateua mpinzani. Kwa hilo nakuunga mkono maana wapinzani wao siku zote ni kupinga tu hata yaliyo mazuri. Mfano CHADEMA sasa hivi wanajifanya kupiga kelele baada ya kupinga maamuzi yako ya kuzuia usafirishaji wa mchanga wakati wanajua ni jinsi gani nchi inavyopoteza pesa nyingi kutokana na kusafirishwa kwa mchanga huo. Mi nakuomba endelea na msimamo wako na achana na wapinzani uchwara na wanafiki kama CHADEMA.
 
Back
Top Bottom