Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Na mimi he is assured of my vote.Ni mjinga tu asiyemuunga mkono JPM.View attachment 513878 Kama user name ilivyo,kuanzia leo nahitaji kumwachia raisi wangu magufuli aendelee tu na huu uraisi mana ni mtu wa maana sana ktk nchi hii,ni mtu asiye tazama urafiki,undugu wala ujama,hongera na mungu akulinde,na nitakuwa wa kwanza kukutetea kwa lolote ndani ya hii forum najua watakuelewa tu