Kupigania nafasi ya ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro duuuh lumumba kazi ipoMiaka miwili sasa tangu ash WANAHAMISHWA. SASA HII NI SPIRIT MPYA NA YA KUPIGIWA MFANO. ENDELEA HIVYO HIVYO MHESHIMIWA. TUPO NYUMA YAKO
Kwamfano faida gani akitengua huwa inapatikanaMiaka miwili sasa tangu ashike mikoba ya urais, mh Dr John Pombe Joseph Magufuli ametii kiu ya watanzania na kuonyesha uwezo mkubwa kuliko marais wote waliomtangulia. labda kidoooogo Nyerere. Magu amefanya maajabu ambayo viongozi waliomtangulia hawakudhubutu. huyu mtu ni jasiri na ana akili mno. shkamoo docta.
HILI LA MTU KUHARIBU NA KUTUMBULIWA HALIKUWEPO. WALIKUWA WANAHAMISHWA. SASA HII NI SPIRIT MPYA NA YA KUPIGIWA MFANO. ENDELEA HIVYO HIVYO MHESHIMIWA. TUPO NYUMA YAKO
Tulia uandike vizuri. Sasa haya maneno; "sionsiri, Mm, aerikali" yana maana gani wewe buku 7?Mtu mwenye akili timamu atakubaliana na mimi watu wanao mpinga Rais wana Tagenda binafsi na hili sionsiri tena inakumbukwa kipindi cha JK hawa watu walifanya maisha ya jk kuwa magumu kutokana na kutumiwa na watu fulan kupinga sera za serikali.
Hatuwezi kuendelea kuwa na viongoz wasaliti nakuwaita wanasiasa wanapost mambo yakushangaza sana. Kiasi inafika mahali tunajiuliza utaifa wao maana hawaeleweki.
Mm naomba tusilale vyombo vya usalama kamata hawa na muwahoji ili tujuwe nani anawatumia na kwa faida ya nani. Zipo tetesi pesa zao huzipokelea nje ya nchi au upata zawadi nono kwa kuipinga aerikali na kuyatetea makampuni.
Atapingwa sana tuHata akivurunda asipingwe? Kwani yeye ni Malaika kwamba hakosei? Kwa taarifa yako, Dereva wa Lori amefanya makosa mengi sana kuliko mambo aliyopatia hadi sasa. Apingwe tu.
Raising mwenyewe anastahili kuchunguzwa katika haya anayokurupukagaMtu mwenye akili timamu atakubaliana na mimi watu wanaompinga Rais wana agenda binafsi na hili sionsiri tena inakumbukwa kipindi cha JK hawa watu walifanya maisha ya JK kuwa magumu kutokana na kutumiwa na watu fulan kupinga sera za serikali.
Hatuwezi kuendelea kuwa na viongoz wasaliti nakuwaita wanasiasa wanapost mambo yakushangaza sana. Kiasi inafika mahali tunajiuliza utaifa wao maana hawaeleweki.
Mimi naomba tusilale vyombo vya usalama kamata hawa na muwahoji ili tujuwe nani anawatumia na kwa faida ya nani. Zipo tetesi pesa zao huzipokelea nje ya nchi au upata zawadi nono kwa kuipinga serikali na kuyatetea makampuni.
Anawah buku 7 'MkuuTulia uandike vizuri. Sasa haya maneno; "sionsiri, Mm, aerikali" yana maana gani wewe buku 7?
Mtu mwenye akili timamu atakubaliana na mimi watu wanaompinga Rais wana agenda binafsi na hili sionsiri tena inakumbukwa kipindi cha JK hawa watu walifanya maisha ya JK kuwa magumu kutokana na kutumiwa na watu fulan kupinga sera za serikali.