Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Huo upande unaotokea kuna mwenzako alisema tutoe sanamu ya Askari Posta tuweke ya Diamond.

Niambieni ukweli, viroba vimepigwa marufuku wewe na yule mbunge mnavipata wapi?
 
Hivi Watanzani tunasubili nini kujenga Sanamu ya Rais Magufuli na kuiweka Posta.Tukichelewa kujenga Sanamu wenzetu Kenya watawahi na kusema anatoka nchini kwao.Naomba tuungane Katika hili Watanzani.
Nawasilisha
Wajenzi wawe Malasusa, Pengo na shehe mkuu
 
Hivi Watanzani tunasubili nini kujenga Sanamu ya Rais Magufuli na kuiweka Posta.Tukichelewa kujenga Sanamu wenzetu Kenya watawahi na kusema anatoka nchini kwao.Naomba tuungane Katika hili Watanzani.
Nawasilisha
Ni kivutio cha utalii?
 
Sanamu itusaidie nini? Tuanze kumuabudu? hapana, tukiguswa na matendo yake tumrudishie Mungu utukufu.
 
Sanamu itusaidie nini? Tuanze kumuabudu? hapana, tukiguswa na matendo yake tumrudishie Mungu utukufu.
Hapana mkuu kila nchi ambayo kiongozi wao amefanya mambo mazuri huwa wanajenga Sanamu kwa hapa Tanzania ni Magufuli
 
Wazo lako linaweza kuwa zuri
Subiri ahitimishe mission zake.
Kwani yote aliyoanzisha ajafikisha kwenye matokeo tarajiwa
 
MAANDIKO YANASEMA USIJIFANYIE SANAMU YA KUCHONGA YA KITU CHOCHOTE KILICHO JUU AU CHINI ARDHINI
Usichanganye usabato hapa wew kwahyo sanamu zingne mpka hko kwa wazungu mbna zpo na ndpo ambako waliyaandika unayoyatamka
 
"Tukichelewa kujenga Sanamu wenzetu Kenya watawahi na kusema anatoka nchini kwao".

Mawazo gani haya sasa we jamaa?
 
Back
Top Bottom