Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Kwanini msiende kukutana Chato badala ya kutujazia uchafu jukwaa hili?Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.
Pamoja!Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.
Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.
Akurudishe kwenye chati kwa mchanga wa dhahabu badala ya dhahabu yenyewe?Tumechoka dharau kutoka kwa vijinchi vidogovidigo mh. Raisi turudishe kwenye chati ya Afrika turudishe heshima we are big nation.
Mkuu mbona post yangu ilikuwa inaeleweka sana tu. Umekuwa mtabiri wa kujua akili yangu imefikia wapi?Nadhani hapo hauko sahihi kuanza kukadiria uwezo wa wenzako wa kufikiri, pia angalia matumizi sahihi ya r na l. Jaribu kuchangia masuala haya kwa open mind ili kesho uwe na room ya kuendelea kuchangiaNajua akiri yako ilipogota ila ukweli unaujua ila hautaki kukubali kuwa jamaa ni kazi tu! Siasa inamuda wake.
Ahaaa unenifurahisa ila nikupongeze kwa kukunirekebisha...juu ya matumizi ya herufi.Mkuu mbona post yangu ilikuwa inaeleweka sana tu. Umekuwa mtabiri wa kujua akili yangu imefikia wapi?Nadhani hapo hauko sahihi kuanza kukadiria uwezo wa wenzako wa kufikiri, pia angalia matumizi sahihi ya r na l. Jaribu kuchangia masuala haya kwa open mind ili kesho uwe na room ya kuendelea kuchangia
Asante kunisoma tumuunge mkono rais JPMUmesomeka mkuu
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Mlitaka Tanzania mpya ipatikane chini ya Makapi ya Ccm!?Hakuna Tanzania mpya wewe, Tanzania mpya haiwezi kupatikana chini ya MACCM chama cha wahuni, wezi, majangili, wapokea/watoa rushwa, mafisadi, wasaini mikataba ya kifisadi, waongo na dikteta uchwara. Tia akili kichwani badala ya kupigia debe mediocre performance.