Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.
Kwanini msiende kukutana Chato badala ya kutujazia uchafu jukwaa hili?
 
After all these dramas, what are the general or specific benefits attributed to the society up to now? Pledges? Does health service provision improved? What about education? Agricultural productivity?-any improvements? New and/or rehabilitated roads (both rural and urban)? Any new Dar es Salaam? Pledges????

Tell me you people, what's new in Tanzania nowadays? I'm curious to know, what has been improved so far in our beloved land? Dramas and show-off?

Why you people keep on politicizing and exaggerating things which are not there?
 
Mungu azidi kumuongoza Rais wetu. Hakika huyu ni chaguo la Mungu.
 
Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.
Pamoja!
 
Huyu jamaa siyo mwanasiasa. Wanasiasa ndo wameharibu nchi yetu! He walks the talk! Kiukweli 2020 Nampa mingine mitano!

Ila aruhusu mijadala bungeni tuone watu wanavyotoa povu kila siku kuhamisha magoli.
 
Ukweli tuliompigia kura, tunajisikia fahari sana sababu hajatuangusha
 
Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.

Bado Magufuli hajatutendea haki....kuwaacha kina Mkapa na JK ni kosa kubwa sana na ni dhambi kwa mwenyezi Mungu.....wale watu wameliibia sana hili taifa, lei iweje waachiliwe wakitucheka? Mh. rais anatumia unafiki hapa.
 
Najua akiri yako ilipogota ila ukweli unaujua ila hautaki kukubali kuwa jamaa ni kazi tu! Siasa inamuda wake.
Mkuu mbona post yangu ilikuwa inaeleweka sana tu. Umekuwa mtabiri wa kujua akili yangu imefikia wapi?Nadhani hapo hauko sahihi kuanza kukadiria uwezo wa wenzako wa kufikiri, pia angalia matumizi sahihi ya r na l. Jaribu kuchangia masuala haya kwa open mind ili kesho uwe na room ya kuendelea kuchangia
 
Ahaaa unenifurahisa ila nikupongeze kwa kukunirekebisha...juu ya matumizi ya herufi.
 
Watu wasijiulize kwa nini mengi unayoyafanya ni mema lakini bado watu kibao wanakulaumu na kukupinga. Kuna njia mbili nyebamba na pana, kuna Mungu na shetani kuna wema na wabaya. Wanaokupinga kwanza walijua siku ukiwa rais madili yao yatakwama wakainvest sana kukupinga usiwe rais ili wapige dili sasa dili zao zimebuma wanafilisika kiuchumi, kifikra na matarajio yao yamebuma. Ndio hao wanakesha usiku na mchana wakihakikisha wanatumia kila mbinu nchi isitawalike na wananchi eti wakuone hufai. Wanahaha kubadili NYEUPE iwe NYEKUNDU.

Si unakumbuka siku ile Kitwanga anakwambia chukua fomu ya uraisi? Watu wa TMMA uliwaambia katika mchanga ndipo tunapoibiwa ukipingana naye wewe unasema kupitia mchanga wa dhahabu ndio tumapoibiwa, kitwanga na wengine wakasema sio kweli. Ni Kitwanga huyo huyo alikuambia kama wewe ni mwamba na unaona kweli tunaibiwa kupitia mchanga chukua fomu ya uraisi uje udhibiti hiyo hali. Ukamjibu kuwa ukiwa rais WATU WATALIMA KWA MENO.

Ninaiona nia yako njema pamoja na mapungufu uliyonayo mimi sioni shida ndio ubinadamu ila ukweli niuseme kutoka moyoni mwangu WANASIASA HODARI WA UPINZANI UMEWASHIKA PABAYA HAWANA HOJA ZA MSINGI ZAIDI YA KUVIZIA VIJIMAPUNGUFU KIDOGO ULIVYONAVYO NAO WANAJENGEA HOJA ZISIZO NA MASHIKO.

Ushauri wangu kwako do not talk the talk you have to walk a walk until wahusika wote wa uhujumu wa uchumi wanachukuliwa hatua ambazo wapinzani wamekuwa wakipendekeza ilimradi aliyeumiza aumie, hata kwa kutoangalia sheria na haki za binadamu kwani SISI WENYEWE TUNAAMINI UDIKTETA KIDOGO tainyosha Tanzania. Hapo wananchi watakua nawe milele na huenda watahitaji uongeze kipindi chako cha urais isivyo kawaida ili utuvushe katika majanga haya kwani muda wa miaka 50 hautoshi kutatua matatizo yaliyotengenezwa kwa miaka 100.
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

wana chuki, wivu na uchungu ....they just hate him hata afanye nini

sisi wengine tutashikamana nae, tutakosoa anapokosea, tutampa support zote
 
Ndugu wana Jamvi Nina kilasababu kumshukuru mwenyeji mungu mwingi Wa rehema kwa kutupatia Raisi wa Tanzania JPM.

Ndugu zangu JPM wote kwa pamoja tumeona vile anavopinga ufisadi, Utumiaji mbaya wa Mali za Uma, Rushwa, Na utumiaji mbaya wa madaraka katika serikali yake.

Hakika watanzania tuache unafiki tunapoenda kwenye masala yanayohusu mstakabali wa taifa tumuunge mkono.

Ndugu zangu Hakuna kitu kibaya kama baba Wa nyumbani unatimiza wajibu wako alafu mama hakubaliani na unachokifanya matokeo ya hapo nikukudidimiza wajibu wako uliokuwa unaufanya kama baba.

Ndugu zangu nisiwachoche ila naomba nimalizie kwa kusema Asante mungu kwa kutuletea JPM Tanzania na matokeo yake tumepata Tanzania mpya
 
Hakuna Tanzania mpya wewe, Tanzania mpya haiwezi kupatikana chini ya MACCM chama cha wahuni, wezi, majangili, wapokea/watoa rushwa, mafisadi, wasaini mikataba ya kifisadi, waongo na dikteta uchwara. Tia akili kichwani badala ya kupigia debe mediocre performance.
 
Mlitaka Tanzania mpya ipatikane chini ya Makapi ya Ccm!?
wanafiki wakubwa nyie
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom