Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wakuu siwezi pitisha siku bila kutaja jina la mweshimiwa Rais nadhani uwa anajing'ata sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nasali kila siku zaidi ya mara moja na siachi kumtaja shetani kama namna ya kumshitakia kwa Mungu.
Naliitia jina la Bwana Mungu wa Majeshi saana tu wakati wa maombi na meditations zangu.
Yesu anahusika sana na Roho mtakatifu.

Kumbuka na shetani anatajwa pia.

Inategemea jina linatajwa kwa nia ipi: njema au mbaya?
 
Kweli kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu siwezi pitisha siku bila kutaja jina la mweshimiwa Rais nadhani uwa anajing'ata sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli ndiye baba wa taifa letu kwa sasa kumtaja sio jambo la ajabu. Hata mimi siwezi kumaliza siku bila kumtaja baba yangu mzazi na bila kumpigia simu.
 
Mkuu ni sawa Magufuli anafanya kazi nzuri,lakini umeandika kwa chuki sana,hii sio nzuri.
 
Dah.... Tunampenda hivyohivyo[emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Huo ulinzi ni ishara ya:
Kutojiamini?
Kujua afanyacho so cha heri/haki?
Matumizi mabaya ya mamlaka?
Kiburi/fahari?
Ulimbukeni?
ASUBIRI SIKU "ISRAELI" atakapomjia kama watamsaidia! Marehemu mtarajiwa kama wengine asiye n.a. hofu ya Mungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wanadai mikutano tu kwa ajiri ya kupiga maneno na kutafuta platform ya kula ruzuku. Jpm kila anakokwenda anatatua kero na kuzidi kukubalika zaidi mana shauku ya watu ni maji,umeme, barabara n.k ambavyo magufuli siyo tu anaongea bari anatenda.
Leo kgm amesema November kero ya maji itakuwa imeisha sasa chadema wakipeleka mkutano huko si watapigwa mawe tu mana watawajaza watu maneno tu na siasa nyingi.

Chadema badilikeni huu ni mda Wa kazi siyo kuropokaropka tu wananchi wameshachoka kusikia sasa wanataka matendo na jpm ndo MTU sahihi.

Kiki aliyokuja nayo lisu ya ukabila imeshabuma mana viziwi wanaona, viwete wanatembea na vipofu wamepata kuona tena.
 
Nimeona huko Kigoma amefungua uwanja mpya wa ndege, barabara za lami kila wilaya, traffic lights huko kasulu, shule na walimu wa kutosha.
Hongera JPM kwa huu kufikia 2019 Kigoma itakuwa jiji maana kufika kwako Kigoma tayari shida zote zimeisha.

Sisemu hoyeeeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…