Chadema wanadai mikutano tu kwa ajiri ya kupiga maneno na kutafuta platform ya kula ruzuku. Jpm kila anakokwenda anatatua kero na kuzidi kukubalika zaidi mana shauku ya watu ni maji,umeme, barabara n.k ambavyo magufuli siyo tu anaongea bari anatenda.
Leo kgm amesema November kero ya maji itakuwa imeisha sasa chadema wakipeleka mkutano huko si watapigwa mawe tu mana watawajaza watu maneno tu na siasa nyingi.
Chadema badilikeni huu ni mda Wa kazi siyo kuropokaropka tu wananchi wameshachoka kusikia sasa wanataka matendo na jpm ndo MTU sahihi.
Kiki aliyokuja nayo lisu ya ukabila imeshabuma mana viziwi wanaona, viwete wanatembea na vipofu wamepata kuona tena.