Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Poleni saaana wapiga dili.
Kwa upande wangu naishi Kimara,
1. Sijawahi kosa maji hata siku moja kwa muda wa mwaka mmoja na nusu wakati maji Kimara ilikuwa Almsasi- hongherah Waziri wa Maji chini yua Mh. magufuli.
2. Kwa sababu kulikuwa na utaratibu mbovu ilikuwa ngumu kuklipa prorty Tax ya jengo, pamoja na wananchi wenzangu wazalendo utaratibu mzueri uliowekwa, nimelipia property tax ambayo ni affordable na kwa utaratibu rahisi sana. Nashauri Serekali iweke option ya kulipa kwa miaka mi2, 3 au mpaka mi5. Na nina uhakika asilimia 100 itafanya kazi ya maendeleo. Viva Magufuli.
3. Wenye watotot wa kuanzia primary mpaka Sekondari - Kidato cha nne hatuna wasiwasi wa kutafuta ada, ni kukazania tu watoto wasome tena sina haja na masani kwani Shule za Serekali zimeanzxa kuonyesha cheche zake, Asante Mh. wetu Magufuli.
4. Tumeanzxa kupata migawo yetu ya madini, hongerah sanaan Mh. Rais
5. Huduma za Serkali zimeboreka, Juzi nimepita Aiport jamani Uhamiaji Hongeraqh sana yaani walichobakiza ni kutubeba tu jinsi tulivyokuwa tunahudumiwa kwa heshima, Asannte Baba Yetu, umerudisha hadhi ya Mtanzania.
6. Majuzi, Dar-Es-Salaam imeshika nafasi ya Kwanza kwa usafiri bora wa jiji- Reference mwendo Kasi- Kanyaga baba twende.
7. Vijana wameanzxa pewa mafunzo mbalimbali maelfu kwa maelfu ikiwa pamoja na ufundi kushona- nchi ya Viwanda i mbioni.
8. Huduma za afya zimeboreka.
9. Kikubwa zaidi ni nidhamu makazini imerudi, imebaki tu wachache tunaofururkuta mitandaon na Majina feki!
 
Nina kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono Rais wangu mpendwa Dk. John Pombe Magufuli kwenye kila hatua anayopiga anapoiongoza nchi yetu ya Tanzania, Nina kila sababu ya kubaki na Rais Magufuli.



Rais Magufuli tangu uingine nimekuwa shuhuda wa namna gani unavyotimiza ahadi zako hasa kwenye ardhi hakika umenikosha vya kutosha

Na nlipendekeza 2020 usitembee kila mkoa kupita kuomba kura tumia media mbalimbali tu sisi tutakusikia na kukupa kura zetu MUNGU akubariki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…