Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tunaelezwa kuwa uchumi wa nchi yetu unakuwa kwa kasi kuliko nci zote Afrika mashariki na kati, naomba niupongeze uongozi uliopo madarakani kwa bidii zote, naomba watanzania wenzangu tumuunge mkono Mh Rais wetu kwani amekuwa na uthubutu mkubwa ambao haujawahi kutokea Tanzania tokea enzi za Mwl. Ameyadhibiti mafisadi na mapiga deal yote. Siku hizi hakuna hewa wala vyeti feki. Kwanini tusimpongeze!?

Ameleta miradi mingi mno, Reli, bomba la mafuta, ndege za kumwaga, Viwanja vya ndege vya Mwl nyerere vinaboreshwa, na Chato inajengwa.

Huduma za afya zinaboreshwa kila mahali. Watu hawalali maofisini wanachapa kazi.

Amedhibiti posho pia wale waliokuwa wanajilipa mishahara mikuu amewadhibiti namshauri mkuu asiongeze mishahara hadi 2025 maana ilikuwa inaishia bar. Majizi ya madini yamepigwa pini.

Hayo ni kwa uchache tu yapo mengi mno.

Heko Magu aka bulldoza
 
Akiwa hajamaliza miaka mitano ya uongozi wake tayari matukio makubwa mawili ya kustaajabisha yametokea

1. Kupatwa kwa jua.
2. Kupatwa kwa mwezi.

Wataalamu wa unajimu na mambo ya nyota wanasema jambo hili hua ni nadra sana kutokea na linapotokea kwa kufulilizana kama lilivyotokea Tanzania basi tujue uongozi uliopo unakubalika na MUNGU.

Hizi ni dalili njema njema za Ushindi kwa Serikali ya awamu ya 5 na ndiyo itakayotuvusha katika matatizo ya nchi yetu. Kupatwa kwa jua na mwezi ni ishara ya mafanikio kwa Serikali ya Magufuli.

Shirika la ndege ATCL limefufuliwa haraka haraka
Elimu, bure
Madawati,
Maji na umeme ,reli ya Sgr,flyover
Miundombinu na mambo mengine meengi ambayo JPM kayafanya pasi na watu kutegemea. Hata enzi za kale mitume walionyeshewa maajabu kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa hajamaliza miaka mi5 ya uongozi wake tayari matukio makubwa mawili ya kustaajabisha yametokea
1.Kupatwa kwa jua.
2.Kupatwa kwa mwezi.
Wataalamu wa unajimu na mambo ya nyota wanasema jambo hili hua ni nadra sana kutokea na linapotokea kwa kufulilizana kama lilivyotokea Tanzania basi tujue uongozi uliopo unakubalika na MUNGU.
Hizi ni dalili njema njema za Ushindi kwa Serikali ya awamu ya 5 na ndiyo itakayotuvusha katika matatizo ya nchi yetu.
Kupatwa kwa jua na mwezi ni ishara ya mafanikio kwa Serikali ya Magufuli.
Shirika la ndege ATCL limefufuliwa haraka haraka
Elimu, bure
Madawati,
Maji na umeme ,reli ya Sgr,flyover
Miundombinu na mambo mengine meengi ambayo JPM kayafanya pasi na watu kutegemea.
Hata enzi za kale mitume walionyeshewa maajabu kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau kuandika na haya

1) Kufukuza fukuza watu kazi kila kukicha bila za msingi .

2)kubomolea watu makazi yao.

3)Kuwaita wanavyuo vilazaa ila ukimuita yeye anakufunga.

4)Kuzuia kupanda kwa mishahara na kuto ajiri watu.

5)Kuwanyima watoto wa kike haki yao ya kuendelea na masomo pindi wakigundulika wana ujauzito.

6)Kunyima wanavyuo mikopo ,na hata waliobahatika kupata kuna baadhi ya pesa wana punjwa au kunyimwa kabisa ,mfano pesa za field.

7)kumtusi waziri mbele ya kadamnasi

8)Kujifanya msemaji wa familia na kutoa siri za marehemu na familia ikitokea amehudhuria msiba ,na hata hivyo anajifanya yupo busy sana kiasi kwamba misiba mingi ya kitaifa haudhurii.

9)Kubana matumizi lakini hizo hela hazijulikani zinapotokomea maana kila kukicha maisha afadhari ya jana na ukijifanya mdadisi unapewa kesi ya uchochezi .

10)Kupambana na upinzani kuliko kutatua kero za wananchi.
 
Hebu achana na akili mbovu! Mtu mwenye kujali wananchi wenzake hawezi kufanya ukatili kama huu!

Akiwa hajamaliza miaka mi5 ya uongozi wake tayari matukio makubwa mawili ya kustaajabisha yametokea
1.Kupatwa kwa jua.
2.Kupatwa kwa mwezi.
Wataalamu wa unajimu na mambo ya nyota wanasema jambo hili hua ni nadra sana kutokea na linapotokea kwa kufulilizana kama lilivyotokea Tanzania basi tujue uongozi uliopo unakubalika na MUNGU.
Hizi ni dalili njema njema za Ushindi kwa Serikali ya awamu ya 5 na ndiyo itakayotuvusha katika matatizo ya nchi yetu.
Kupatwa kwa jua na mwezi ni ishara ya mafanikio kwa Serikali ya Magufuli.
Shirika la ndege ATCL limefufuliwa haraka haraka
Elimu, bure
Madawati,
Maji na umeme ,reli ya Sgr,flyover
Miundombinu na mambo mengine meengi ambayo JPM kayafanya pasi na watu kutegemea.
Hata enzi za kale mitume walionyeshewa maajabu kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuunga mkono 100% Mh John Pombe Magufuli katika hili suala la kurudisha viwanda vilivyouzwa ili kuviendekeza, lakini havikuendelezwa.

Tulikuwa na
MWATEX
MUTEX
MBEYA TEXTILES
SUNGURATEX
MUTEX
BORA
TANGANYIKA PACKERS
MEERSCHAUM
TANCUT ALMASI
TANZANIA HIDES AND SKINS
RETCOs
TANICA
TTC(Tanzania Tourist Corp)
TDFL
TDL(Tanzania Diaries Ltd)
Tanga Phosphates
.
.
.
.
.
Viwanda ni vingi, vilifika 400 enzi ya Mwalimu, ongezea vingine.

NB
Matusi sitaki.
HIVYO VIWANDA ULIVYO VITAJA KURUDI KATIKA HALI YAKE NI MIUJIZA NI SAWA NA KONDOO WALIO CHINJWA KURUDISHIWA UHAI MPYA ITOKEE MIUJIZA
 
Akiwa hajamaliza miaka mi5 ya uongozi wake tayari matukio makubwa mawili ya kustaajabisha yametokea
1.Kupatwa kwa jua.
2.Kupatwa kwa mwezi.
Wataalamu wa unajimu na mambo ya nyota wanasema jambo hili hua ni nadra sana kutokea na linapotokea kwa kufulilizana kama lilivyotokea Tanzania basi tujue uongozi uliopo unakubalika na MUNGU.
Hizi ni dalili njema njema za Ushindi kwa Serikali ya awamu ya 5 na ndiyo itakayotuvusha katika matatizo ya nchi yetu.
Kupatwa kwa jua na mwezi ni ishara ya mafanikio kwa Serikali ya Magufuli.
Shirika la ndege ATCL limefufuliwa haraka haraka
Elimu, bure
Madawati,
Maji na umeme ,reli ya Sgr,flyover
Miundombinu na mambo mengine meengi ambayo JPM kayafanya pasi na watu kutegemea.
Hata enzi za kale mitume walionyeshewa maajabu kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, hii ni kwa mujibu wa dini ipi?
 
Kwa hyo kupatwa kwa jua na mwezi.vimetokea nchini Tanzania peke yake?
Nadhani umesahau kupatwa kwa mwezi ni pale dunia inapokaa kati ya mwezi na jua.ni vitu ambavyo vipo kwenye mpangilio.sio sababu ya uongozi.HATA KAMA RAIS WETU ANGEKUWA MWINGINE WA SASA HIVI ILI JAMBO LINGETOKEA TU.
KWA HYO USITUDANGANYE.

Sent using Jamii Forums mobile app
657775e1e2993c3b2ca01510e5af4cc9.jpg
 
Wewe uliyeleta hii mada umesoma japo kiasi kidogo Sayansi? Kwa uelewa wako kupatwa kwa jua au mwezi kunatokea kama ajali? Kama huelewi, hayo mambo hayafuati nani ni mtawala au nani amekufa au kuzaliwa, ni matukio ya Kisayansi na kihesabu, ndiyo maana hujulikana yatatokea lini na mahali gani yataweza kuonekana vizuri.

Na huu ukame uliotokea Tanzania na kufanya Kanda ya Kati na kanda ya Ziwa kukosa kabisa chakula, nayo ni neema inayoendana na mtawala aliyepo?
 
Mkuu umesahau kuandika na haya

1) Kufukuza fukuza watu kazi kila kukicha bila za msingi .

2)kubomolea watu makazi yao.

3)Kuwaita wanavyuo vilazaa ila ukimuita yeye anakufunga.

4)Kuzuia kupanda kwa mishahara na kuto ajiri watu.

5)Kuwanyima watoto wa kike haki yao ya kuendelea na masomo pindi wakigundulika wana ujauzito.

6)Kunyima wanavyuo mikopo ,na hata waliobahatika kupata kuna baadhi ya pesa wana punjwa au kunyimwa kabisa ,mfano pesa za field.

7)kumtusi waziri mbele ya kadamnasi

8)Kujifanya msemaji wa familia na kutoa siri za marehemu na familia ikitokea amehudhuria msiba ,na hata hivyo anajifanya yupo busy sana kiasi kwamba misiba mingi ya kitaifa haudhurii.

9)Kubana matumizi lakini hizo hela hazijulikani zinapotokomea maana kila kukicha maisha afadhari ya jana na ukijifanya mdadisi unapewa kesi ya uchochezi .

10)Kupambana na upinzani kuliko kutatua kero za wananchi.
Sure
 
Back
Top Bottom