zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 251
Tunaelezwa kuwa uchumi wa nchi yetu unakuwa kwa kasi kuliko nci zote Afrika mashariki na kati, naomba niupongeze uongozi uliopo madarakani kwa bidii zote, naomba watanzania wenzangu tumuunge mkono Mh Rais wetu kwani amekuwa na uthubutu mkubwa ambao haujawahi kutokea Tanzania tokea enzi za Mwl. Ameyadhibiti mafisadi na mapiga deal yote. Siku hizi hakuna hewa wala vyeti feki. Kwanini tusimpongeze!?
Ameleta miradi mingi mno, Reli, bomba la mafuta, ndege za kumwaga, Viwanja vya ndege vya Mwl nyerere vinaboreshwa, na Chato inajengwa.
Huduma za afya zinaboreshwa kila mahali. Watu hawalali maofisini wanachapa kazi.
Amedhibiti posho pia wale waliokuwa wanajilipa mishahara mikuu amewadhibiti namshauri mkuu asiongeze mishahara hadi 2025 maana ilikuwa inaishia bar. Majizi ya madini yamepigwa pini.
Hayo ni kwa uchache tu yapo mengi mno.
Heko Magu aka bulldoza